Nilitaka kuikubali CDM kwa zile Siasa maridadi walizozionesha kipindi Cha kwanza Cha mechi hii ngumu ya siasa. Midfielder Zitto alikuwa hana mpinzani uwanjani Na I almost felt kuwa ukombozi umewadia, ufisadi umepatiwa jibu na soon the national cake will be equally distributed and enjoyed. LAKINI sasa, duuh, I was wrong , CDM Ni wale wale na nashukuru kwa kutojiunga nao. Ufisadi wa kabla ya kuchukua madaraka ni hatari sana, kutoiheshimu katiba yenu wenyewe ni mbaya sana, kutokukubali kukusolewa na kukataa challenge ni udikteta. With all respect bado sana.