THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,378
- 12,926
Kumbuka huyu aliyempa ushindi Zitto ndio yuleyule aliyemrudishia Lema ubunge. Kwahiyo ni vyema ukalinda heshima yako kuliko kuanza kuzua vioja ntuzu. Sawaeee?.
Leo umekua hauna point. Unamaanisha kati ya Zitto na Padri Silaa nani mwenye kadi ya CCM? Tatizo lenu mnashabikia tu.
you are too low.....aliyejadiliwa binafsi nani? dada usilete story za vijiwe vya mbege jf
huo upuuzi kawaeleze paleeeee ufipa ingekuwa ni chadomo imeshinda usingeandika huo uharo hapo juu.
Unamaanisha nini unaposema "wanakigoma"? wewe pia unaitikadi za Ukanda na Ukabila? Epuka sana general statements, siyo wanakigoma wote ni wanasiasa kama unavyo dhani!!!
Sijui wewe ni Kilaza ama unafanya kusudi? Au ndio mahaba niuwe kwa chadema yenu sasa mpaka sasa hujajua sababu ya kufunguliwa kwa kesi?
Huo upuuzi kawaeleze paleeeee ufipa ingekuwa ni chadomo imeshinda usingeandika huo uharo hapo juu.
Chadema kabla haijfa nikikumbuka nacheeka,ilikuwa na mbwembwe nyiiingii..
ONA SASA INAKUFA KIFO DHALILI KABISA,KIFO CHA MENDE,
YANII ZITTO MMOJA TUH ANAWASUMBUA WATU MILLION MIA MOJA NA USHEE,,JE KUONGOZA TAIFA HII SACOSS WATAWEZA??
TAFAKARI,CHUKUA HATUA,CHADEMA NI JANGA LA TAIFA
Naona Mkuu unaeneza propaganda!
Teh teh teh leo kavute makushabu shushia na gongo kamanda.
Taarabu nzuri jamani, naona hata wasiojua kuimba wanafuatisha kiitikio, na waliozidiwa wanafuata midundo...
Plz Yericko, tunakungija kwa hamu