JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
HILI HALIKUBALIKI
KATIKA Misimu minne ya ligi kuu Tanzania bara kuanzia 2012, Young African SC tumetwaa taji mara 3 na Azam FC 1, Msimu huu panapo majaaliwa itakuwa mara yetu ya tatu mfululizo . . Inasikitisha kuona ndugu zetu wamekuwa wakipambana kutafuta ushindi kupitia kamati! Waliwahi mchezesha Ibrahim Ajib...