Taarifa ya Ikulu: Serikali yakanusha kuwa itafuta Matumizi ya mitandao ya kijamii nchini

Status
Not open for further replies.

njoo kwetu

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
801
1,791
Taarifa hii imekanushwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu



------------------------
Serikali imetoa tamko lake kuwapa taarifa watumiaji wote wa mitandao ya kijamii kutumia kwa uangalifu kwa maana kama ikitumiwa vibaya, Serikali itafunga mitandao yote ya kijamii.
 
IMG-20170324-WA0031.jpg
 
Ni vigumu sana kuifungia mitandao ya kijamii na sio jambo zuri.

Lakini wazushi na watukanaji wanatuponda sana!
 
Safi sana

Hapa kazi tu

Wengi nyie watanzania mnatutia aibu mna lugha chafu, amuheshimu viongozi

Wavivu
Mmejaa wivu
Wazembe
Wafata mikumbo ta uongo
Wazushi
Mna tamaa
....

Lugha chafu haswa humu na kuwaita viongozi majina ya ovyo muache.

Msiponyooka, mtanyooshwa

Magufuli oyeeeee

Makonda oyeeeee
 
Sina mda huo kwenye simu yangu vocha yangu yeye kinamuuma nini sasa amwambie hivyo Daudi Albert Bashite basi ila Mimi aaamue tu kama ambavyo ninaaamua
 
Bora
Safi sana

Hapa kazi tu

Wengi nyie watanzania mnatutia aibu mna lugha chafu, amuheshimu viongozi

Wavivu
Mmejaa wivu
Wazembe
Wafata mikumbo ta uongo
Wazushi
Mna tamaa
....

Lugha chafu haswa humu na kuwaita viongozi majina ya ovyo muache.

Magufuli oyeeeee

Makonda oyeeeee
Ungejua kiswahili vizuri.kiswahili chenyewe hujui.
 
Pombe skia,
Huwezi kufungia mitandao ya kijamii ila unachoweza kufanya ni kublock access ya kawaida katika hiyo mitandao BUT jua kuna njia nyingi za kuweza kuaccess blocked sites. Maanina umelikoroga utalinywa hii nchi sio yako peke yako na baby wako bashite. Ukitaka yaishe turudishie nchi ya mkwere otherwise utakimbia nchi hii mzee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom