CCM imegeuka ilani yake ya uchaguzi 2015 -2020 kuhusu Wanafunzi na Ujauzito

Mchambuzi

JF-Expert Member
Aug 24, 2007
4,850
9,405
IMG_20170623_160406_894.jpg

Ilani ya uchaguzi ya chama cha siasa hutoa fursa ya kipekee na pengine ndio source pekee kwa umma/wapiga kura kuelewa kwa undani chama husika kinalenga kutekeleza sera za aina gani iwapo kinafanikiwa kushinda uchaguzi na kuunda Serikali. Kupitia ilani ya uchaguzi, wapiga kura wanapata nafasi ya kuchanganua ni Chama gani kimejipanga au kina uwezo zaidi wa kukidhi matarajio, matamanio, na ndoto zao kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Umuhimu mkubwa wa ilani ya uchaguzi ya chama upo katika suala la uwajibikaji/accountability kwa sababu katika nyakati mbalimbali, vyama vya siasa vinatakiwa kuja na maelezo ambayo yatawafanya wawe "held accountable" iwapo kitashinda uchaguzi. Kwa maana hii, ilani ya uchaguzi inakuwa ni sawa na mkataba kati ya wananchi na chama cha siasa.

Vile vile kuna suala la uwazi/transparency. Ilani ya uchaguzi inalazimisha vyama vya siasa kuwa wazi juu ya vipaumbele vyao, hivyo kuwezesha wapiga kura to identify with the parties in an open and transparent manner.

Chama cha mapinduzi kimeanza kugeuka ilani yake ya uchaguzi ya mwaka 2015-2020. Kwa maana hii, CCM imeamua kuanza kuvunja mkataba wake na wapiga kura. Chama cha aina hii kwa kawaida hakitakiwi kuaminiwa na wananchi kwa sababu ahadi zake kupitia ilani ya uchaguzi zinakuwa ni za "kilaghai" zaidi kuliko "utekelezaji" unaotakiwa kuendana na matamanio, matarajio na ndoto za wananchi waliokipa dhamana ya kuunda Serikali kwa ajili ya kuwatumikia.

Cc MsemajiUkweli
 
Magufuli anaamini kwenye Magufulication pekee.Chama hakina watu wenye akili za kushauri akili zake na chama hakijampa urais bali maskini na ndio maana yeye anawapenda maskini na hali yao
Kilichohitajika ili kutoa matamko nyenye tija ni yeye kushirikisha hamashauri ya kichwa chake tu na ninafikiri amefanya hivyo kwa umahiri mkubwa licha ya kuboronga!
 
Waziri kivuli

Unanitag ili iweje, kama hayo yaliruhusiwa na wanaona ni jambo la kuchezea ndio lisikatazwe!?

Waacheni wanaotaka kufaidi mambonya mahaba eafanye hivyo, ila wakitaka kusoma wakati wa JPM wanede private schools kwasababu huko hakukuhusu na hajaeakataza kuendelea na masomo.

Wazazi na walezi hawawatunzi watoto wao wengi na kueasukuma walale na wwnaume eaoate mimba ili wahudumiwe na hao ma wakwe kwa sababu wengi ni wavivu na wamejaa tamaa

Sasa hao wawaachie waanze mapema kunanihihi akijua shule ya bure hawatarudi kusoma, waende private au pia kasema VETA etc na kulima pia

Hakuna ya kuchezea serikali kisa wanatoa elimu bure. Wanaopitia maouvu nalo ameliongelea kuwa hao watafata yanayotakiwa kufatwa

Lazima watu waheshimu elimu na sio kuifanya kama shamba la bibi, kisa eti inatolewa bure.

CIAO
 
Huyu sizonje hasomi hiyo ilani, yaani tamko lake tu ndio ilani!
Makitu ya lumumba yanasubiri aseme heey..yabweke!
 
View attachment 529418

Ilani ya uchaguzi ya chama cha siasa hutoa fursa ya kipekee na pengine ndio source pekee kwa umma/wapiga kuelewa kwa undani chama husika kinalenga kutekeleza sera za aina gani iwapo kinafanikiwa kushinda uchaguzi na kuunda Serikali. Kupitia ilani ya uchaguzi, wapiga kura wanapata nafasi ya kuchanganua ni Chama gani kimejipanga au kina uwezo zaidi wa kukidhi matarajio, matamanio, na ndoto zao kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Umuhimu mkubwa wa ilani ya uchaguzi ya chama upo katika suala la uwajibikaji/accountability kwa sababu katika nyakati mbalimbali, vyama vya siasa vinatakiwa kuja na maelezo ambayo yatawafanya wawe "held accountable" iwapo kitashinda uchaguzi. Kwa maana hii, ilani ya uchaguzi inakuwa ni sawa na mkataba kati ya wananchi na chama cha siasa.

Vile vile kuna suala la uwazi/transparency. Ilani ya uchaguzi inalazimisha vyama vya siasa kuwa wazi juu ya vipaumbele vyao, hivyo kuwezesha wapiga kura to identify with the parties in an open and transparent manner.

Chama cha mapinduzi kimeanza kugeuka ilani yake ya uchaguzi ya mwaka 2015-2020. Kwa maana hii, CCM imeamua kuanza kuvunja mkataba wake na wapiga kura. Chama cha aina hii kwa kawaida hakitakiwi kuaminiwa na wananchi kwa sababu ahadi zake kupitia ilani ya uchaguzi zinakuwa ni za "kilaghai" zaidi kuliko "utekelezaji" unaotakiwa kuendana na matamanio, matarajio na ndoto za wananchi waliokipa dhamana ya kuunda Serikali kwa ajili ya kuwatumikia.

Cc MsemajiUkweli
Hii ni Serikali ya Magufuli, ni muhimu ulielewe hilo. Ndio maana wafia chama kama Nape sasa hivi wanashughulikiwa na hata nyoka wa Makengeza anaelekea kukatwa kichwa.
 
Waziri kivuli

Unanitag ili iweje, kama hayo yaliruhusiwa na wanaona ni jambo la kuchezea ndio lisikatazwe!?

Waacheni wanaotaka kufaidi mambonya mahaba eafanye hivyo, ila wakitaka kusoma wakati wa JPM wanede private schools kwasababu huko hakukuhusu na hajaeakataza kuendelea na masomo.

Wazazi na walezi hawawatunzi watoto wao wengi na kueasukuma walale na wwnaume eaoate mimba ili wahudumiwe na hao ma wakwe kwa sababu wengi ni wavivu na wamejaa tamaa

Sasa hao wawaachie waanze mapema kunanihihi akijua shule ya bure hawatarudi kusoma, waende private au pia kasema VETA etc na kulima pia

Hakuna ya kuchezea serikali kisa wanatoa elimu bure. Wanaopitia maouvu nalo ameliongelea kuwa hao watafata yanayotakiwa kufatwa

Lazima watu waheshimu elimu na sio kuifanya kama shamba la bibi, kisa eti inatolewa bure.

CIAO

1.Kwani wakati haitolewi bure walikuwa hawapati mimba????Mbona mnajifanya wehu,hilo tatizo halijaanza baada ya JPM kusema elimu ya awali ni bure!Lilikuwepo,so msiongee as if kutolewa elimu bure kumeleta tatizo la mimba!

2.Kwani hakusoma ilani wakati wa uchaguzi?Au aliogopa kunyimwa kura kama angeyasema hayo huko?

3.Kuna madhara mengineyo yatokanayo na ngono isiyo salama kama HIV,serikali inatoa pesa ili wananchi wapate dawa za ARV bure!Sasa unaonaje ukamwambia mkuu kuwa serikali haiwezi gharamia wazinzi?Kwamba isitoe hata senti tano ili kila mzinzi yakimkuta ajilipie!
Period
 
Wakati wa kampeni walisema chagua Magufuli sio CCM. Na yeye mara nyingi tu huwa anasema serikali ya Magufuli. Kama alichaguliwa Magufuli na akaunda Serikali ya Magufuli hapo kweli unategemea afuate ilani ya CCM?
 
1.Kwani wakati haitolewi bure walikuwa hawapati mimba????Mbona mnajifanya wehu,hilo tatizo halijaanza baada ya JPM kusema elimu ya awali ni bure!Lilikuwepo,so msiongee as if kutolewa elimu bure kumeleta tatizo la mimba!
2.Kwani hakusoma ilani wakati wa uchaguzi?Au aliogopa kunyimwa kura kama angeyasema hayo huko?
3.Kuna madhara mengineyo yatokanayo na ngono isiyo salama kama HIV,serikali inatoa pesa ili wananchi wapate dawa za ARV bure!Sasa unaonaje ukamwambia mkuu kuwa serikali haiwezi gharamia wazinzi?Kwamba isitoe hata senti tano ili kila mzinzi yakimkuta ajilipie!
Period

Nitarudi kuangalia atakayejibu hiyo no.3.
 
Back
Top Bottom