Makundi (mitandao) mangapi yapo kwa sasa ndani ya CCM?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,679
8,866
Naona CCM kuna vugu vugu na hasa baada ya kubaka demkrasia ya kugombea ndani ya chama pale walipo halalisha kuwa mgombea ni mmoja.

Je, unaona kuna makundi yape taja hapa?
 
Kuna makundi ya Wazee na Vijana; Makundi ya Washabiki na Wakereketwa. Nahisi Makundi Maslahi ndani ya CCM yanaanza KUYEYUKA kama barafu kwenye joto!
 
Naona CCM kuna vugu vugu na hasa baada ya kubaka demkrasia ya kugombea ndani ya chama pale walipo halalisha kuwa mgombea ni mmoja.
Je unaona kuna makundi yape taja hapa.
CCM Imani,
CCM Maslahi.
 
Hivi huku kuhamia dodoma ina maanisha ndo tayari..tuwe karibu na milembe.
 
Nyumbu naona mnajadiliana
382560_210532999072993_134995472_n.jpg
 
Hakuna sehemu CCM waliposema mgombea awe mmoja tu, ila vi propaganda vya kijinga vya nyumbx vilivyokuwa vinasema wamepitisha sheria ya kuruhusu Magu kupeperusha bendera ya CCM bila uchaguzi 2020, si kweli, zipuuze taarifa hizo.

Vingenevyo uwe unaongelea mtu mmoja cheo kimoja ambalo ni tofauti na mgombea kuwa mmoja.
 
Back
Top Bottom