Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,635
Natupa rasmi line yangu ya Vodacom kuanzia sasa hivi. Yaani kabisa nitie halafu nitiwe? Inaonekana hawa Wabunifu wa haya Makampuni ya Simu siku hizi wanavuta Misuba siyo ya nchi hii. Kwahiyo kwa mfano ukienda Dukani unamwambia Wakala kuwa nitie halafu nitiwe hivi kwa Sisi Watu wa Pwani hapa si kutaka tu kutafutana ubaya humu mitaani?
Daaah nilianza kwa kusikitika kisha nimeishia kucheka looh hahahahahahhaaaa
Mie ntasema, bwana wakala NTIE nami NIKATIE.... heheheheheheheee
Na bwana wakala ataitikia, Vodacom.... TIA UTIWE aahahahahahaaa
Huu msemo Vodacom wametutafutia Makovu na Majeraha ya lazima kwani si kila Mswahili atakuelewa utakapomwambia " Natia nami Nitiwe " na Vodacom. Na kama Mamlaka husika hazitaliangalia hili naona siku si nyingi kuna Kampuni nyingine nayo itakuja na " Panua na....ili Upanuliwe zaidi ".
Mijitu ya kutoka Bara huko ambayo hii misemo ya Kimjini mjini haijazoea halafu ikukute eti unaiambia " Tia Utiwe " nadhani sisi wa Mjini tutachezea mno Vichapo kutoka Kwao kwani hakuna asiyejua kuwa Watu wa Bara huwa hawapendi na hawajazoea Utani.
Tutapigika mno hakyanani kwa ajili ya haka kamsemo ka Tia Utiwe!
Hahahahahahaaa itakuwa ni mwendo wa kutiiiaanaa na kuutiiwaa tuu looh hawa Voda hawa wafute huu usemi kabla haujaleta madhara hehehehehehe
Hahah uzur sina line voda.... Ila hii mitandao inatupanda kichwan hamna namna watumiaj wa voda mtiwe tu
Na watatiwa kweli Mkuu baada ya wao pia kutia.
Ulete madhara mara ngapi Mkuu? Yaani kabisa nitie ili nikatiwe? Are these Guys serious?
Sasa hawa mi namashaka nao kwa haya matangazo Yao
Hahah hii mitandao iangalie mkuu kwa hiyo kama uncle magu anatumia voda na yeye itakuwa hvo ..... Nafwaaa
Haha huyo mtu sio wa kumchokoza akiliamsha dude ni hatar mkuuMkuu mbona sasa unataka kunipigisha shoti mwenzio katika hiyo Transfoma?
Hahahahaha sitaki habari hiyo.....Daaah nilianza kwa kusikitika kisha nimeishia kucheka looh hahahahahahhaaaa
Mie ntasema, bwana wakala NTIE nami NIKATIE.... heheheheheheheee
Na bwana wakala ataitikia, Vodacom.... TIA UTIWE aahahahahahaaa