Recent content by Mamushka

  1. Mamushka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nampenda rafiki yangu mpaka naogopa

  2. Mamushka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania miaka 5 ya ndoa uume hausimami,atumia ulimi tu kumridhisha mkewe

    Mh Zejame, hapo alipigwa changa la macho, mwanaume ansema hivyo kwa karne hii anawalakini
  3. Mamushka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania miaka 5 ya ndoa uume hausimami,atumia ulimi tu kumridhisha mkewe

    Kwani wakati hawajaoana alikua fresh? kama alikua mzima before basi mwambie rafkiako pamoja na kumshirikisha mwenyezi Mungu pia kuna mambo anatakiwa achunguze 1) Achunguze kwa makinj kama na mpango wa kando yani anamchezea ofside maana anaweza jifanya mzee wa ulimi kumbe amesha piga huko nje...
  4. Mamushka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nampenda rafiki yangu mpaka naogopa

    Rafkiako ni jinsia gani, na je ni jinsia tofauti na wewe au!
  5. Mamushka

    JamiiForums Tanzania Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

    Anaonekana li pua tu, bora angebaki mweusi
  6. Mamushka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Re: Kila Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na Wala Simu Zangu Hapokei

    Kula nyanya chungu kwa wingiiiii, halafu usige moyo huna maumbile makubwa wala nini sema wanaume wote inaokutana nao wana vibamia wasikubabaaishe! ipo siku utakutana namwanaume halisi mnaelingana uone kama hayo maji utayaona, achana na vibamia bana vinajihami mtaani kukj dhalilisha usivitangaze
  7. Mamushka

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Chiku Abwao anaganga njaa bungeni!

    Nomgonjwa ndio wa akili
  8. Mamushka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu Hataki NIOGE nk nk!!...!

    Mama kijacho full kudeka utadhani anazaa dunia wakati wenzie wana watoto 12 na jembe walisika mpaka wanaingia kujifungua mfyuuuuuu, mchunie anavyokwambia usimuendekeze, shida yake unuke ili usipendwe na warembo wengine hapo uoga wake unamsumbua tu anaogopa kuibiwa kwakua ana mimba, funga maskio...
  9. Mamushka

    JamiiForums Tanzania Live updates: Tukio la Bomu Mbowe na JK watembelea Arusha

    Mungu awafariji walikumbwa na janga!
  10. Mamushka

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Heko Kamuhanda kwa Kazi Nzuri!

    Anatafuta sifa kwa watoto wa UDOM Anaowachakaza bila hatia
  11. Mamushka

    JamiiForums Tanzania Me ni new member (nipokeeni)

    Wana mahusiano ndo kina nani? inamaana unakamba miguuni anywayz karibu
  12. Mamushka

    JamiiForums Tanzania Kinana kuhusishwa na Ujangili,je tatizo ni Usomali au kuwa katibu Mkuu wa CCM??

    Peleka hii mada jukwaa la siasa bana
  13. Mamushka

    JamiiForums Tanzania hili linaweza kua zali au nitaliwa

    Mwisho wa siku watakuomba amount flani ili uweze kuchukua hiyo pesa ukishawatumia tu umeisoma namba
  14. Mamushka

    JamiiForums Tanzania Majibu ya H Kigwangalla kwa Bashe na wapambe wake

    Sijawahi ona mbinge mbae hana hata chembe ya hekima au busara kwenye kichwa chake kama mbunge wa nzega, sikuzote kakalia ugomvi tu akiulizwa hivi yeye huelekeza kwingine na anapenda sana kuongeza maadui kila siku, Grow up man aaa.
  15. Mamushka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako amekusevu kwa jina gani katika simu yake?

    Kwanza hiyo story yako ya kutunga, yani ya uongo kabisa usituzingue sisi bana ushauri gani hapo unataka
Back
Top Bottom