Live updates: Tukio la Bomu Mbowe na JK watembelea Arusha

Live updates: Tukio la Bomu Mbowe na JK watembelea Arusha

Mbowe hawezi kukubali kuonana na President kwa vile ameonesha udhaifu mkubwa wa kuongoza kambi ya upinzani bungeni jambo ambalo limepelekea wabunge wake wawe kama watoto wa vijiweni.

Possibly huelewi ulicho kiandika kutokana na uwezo wako wa kufikiri ulivyo wekwa mateka pale Lumumba.
 
Acha kudhalilisha taaluma ya habari,hii hoja ungeweka kwenye hoja mchanganyiko,huwezi hutupatia story ya mkuu wa nchi,with connection to Mbowe,huna adabu,mMbowe ni nani?c mbunge tu huyo sawa na Nkamia?tofauti yy ni kiongozi wa KAMBI ya upinzani BUNGENI?arusha ni bungeni?coz labda ungejenga hoja hiyo mkuu,KIKWETE ni rais wa nchi,Mbowe ni mbunge,huwezi kumlinganisha na rais,hakuna news hapa,huu ni ushabiki,na ww upo chadema,na haya ndio maisha yenu,hamna adabu,comparing J.K with Mbowe?what a shame!Sheet.

Mkuu ni vyema ukaficha upumbavu na ukilaza wako, kwa kukaa kimya bila kuchangia kuliko kuandika viroja kwenye jukwaa la GT; Yaani wewe hujui ya kuwa kamanda Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA na Kikwete ni mwenyekiti wa CCM, hivyo basi wote wapo in the same rank ki-chama ?
 
Kwanza nashukuru Mungu,kutukana huwa cwezi,huwa naongozwa na hoja,sasa master peace,hilo suala ni la chama au?Limetokea jpili,tena asubuhi,je huyo unaemuita kama (sijui lkn ni kamanda wa kitu gani) kwa nini hakwenda hata j3 au alitaka umaarufu kupitia Jk?Mtabaki kutafuta umaarufu kwa matusi,na kuvizia,Huyo mbowe ni sawa Mbatia,Mrema,Mtikila,Lipumba,na JK,ni head of state.
 
Back
Top Bottom