Pole mkuu!kila jambo na swaga zake.
usijali, ndani ya miezi tisa tatizo litaisha.
Staili hii ya kula miguu ya kuku nayo kiboko!!!!!!!!!!!!!
Hiyo ni hali ya kawaida kwa wajawazito ingawa wakati mwingine huwa ni madeko na pretending za kufa mtu... Ongeza mapenzi kwa mke wako hasa kipindi hiki kwa ajili ya makuzi mazuri ya mtoto maana makuzi huanzia tumboni... Pia uwe makini maana unaweza kujikuta unapoteza ndoa yako ukifanya masihara...Niliwahi kushuhudia ndoa inavunjika kisa vituko vya mimba...
itabidi hako katoto kakishakua kaajiriwe jeshini mapema, wakichelewa tu kanaanza biashara ya umachinga.Katoto kakizaliwa katawahi kutembea halafu katakuwa kanakula mtaa balaa.
huyo wa kwake anajifanyisha tu hamnaga kitu kama hicho!!kasikia tu kijiweni na saloon basi anaaply hebu mkaripie uone asipofyata mkia wake atakuchoma na kisu useme ni miiiimba hiyoooo.hata tembo anabeba yake 2years na hana mbwembwe
itabidi hako katoto kakishakua kaajiriwe jeshini mapema, wakichelewa tu kanaanza biashara ya umachinga.
Wakuu salaam,
Naomba ushauri wenu hapa kwenye hili jambo linalonitatiza sana kwa sasa.
Niko kwenye uhusiano na huyu Malkia wangu kwa muda wa miaka sita sasa anaujauzito,lakini toka amekuwa katika hali hiyo Nyumba imekuwa chungu kwangu...
1.Hataki nioge yaani nikirudi kazini suala la kuoga halipo kwahiyo mm huwa inabidi nikienda kazini asubuhi nioge huko huko,anasema kwamba anataka asikie harufu yangu kwahyo huwa analalaga karibu na kwapani ili asikiwe tu ile harufu...
itabidi hako katoto kakishakua kaajiriwe jeshini mapema, wakichelewa tu kanaanza biashara ya umachinga.