Recent content by mambali

 1. mambali

  Kuna madhara yoyote ya kunyoa nywele za kifuani(GARDEN LOVE)?

  HABARI WAKUU MBALIMBALI; Kuna mdau kanielezea yeye hapendi nywele za kifuani so toka zimeanza kuota amekuwa na tabia ya kuzinyoa kila ikifikia level flani ni kwa muda sasa amekuwa akifanya hivyoo, anauliza je kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea hapo mbeleni???
 2. mambali

  Naweza trace Smart TV iliyoibwa kama tunavotafuta simu?

  Habari wakuu, nimeibiwa smart TV je ku a nmna naweza itrace kama tufanyavo kayika simu na je na vitu gan vinahitajikaa kama huo utaratibu upoo?
 3. mambali

  Msaada jinsi ya kuset/kuweka password katika briefcase

  Zipo kariakoo maduka ya mabegii uliziaa
 4. mambali

  Msaada jinsi ya kuset/kuweka password katika briefcase

  Habari wakuu mbalimbali nimenunua briefcase kwa ajili ya kuweka vitu vyangu vya siri lakini nimeshindwa kuset password ili niweze kufungua kwa namba mmi peke angu naomba mwenye ufahamu na hilii aweeze kutupatia msaada naimani wengi wetu hatufahamu so itasaidia sana .natanguliza shukrani
 5. mambali

  Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

  mtafute dada mmoja anaitwa mariam kasanga yupo wilaya ya nzega mkoa wa tabora ni maarufu sana pale anaweza kuwa ndugu yako!!!
 6. mambali

  Vifaa vya magari vinapatikana mtandao gani hapa nchini?

  nahitaji bampa ya nyuma ya carina ntaipata kwa bei gani
 7. mambali

  Kesho ni kazi kama kawaida

  hapana sisi kazini kwenu ni tofauti naambiwa ni agizo toka kwa katibu mkuu wa wizara
 8. mambali

  Kesho ni kazi kama kawaida

  habari kesho tumetangaziwa hatuna mapumziko ni kazi kama kawaida pia tuvae sare zetu
 9. mambali

  Ni taratibu gani zinatakiwa baada ya kumpata mwenza hadi kufunga ndoa?

  Habari wana jamvi, Naomba nipate utaratibu ni hatua gani zinatakiwa zifuatwe baada ya kumpata mwenza hadi kufikia hatua ya kufunga ndoa namaanisha baada ya wazazi kuwatambua ni hatua gani zinafuatia kwa mtiririko! Nitashukuru sana kwa msaada wenu upande wa ni wakristo thehebu katoliki upande...
 10. mambali

  Kagera - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

  Msimamizi atokomea na vifaa vya uchaguzi huko kashai bukoba hadi sasa saa tatu hajatokea na simu yake haipatikani
 11. mambali

  Kati ya hawa yupi sahihi wa kunioa?

  tatizo ni hiyo ID yako tototundu endelea na utundu wako
 12. mambali

  Plot / unfinished house for sale in gangilonga iringa

  mama badala ya kujibu hoja unaanza kuleta matusi na mapovu mengi mdomoni
Top Bottom