Msaada jinsi ya kuset/kuweka password katika briefcase

mambali

Senior Member
Oct 16, 2012
172
225
Habari wakuu mbalimbali nimenunua briefcase kwa ajili ya kuweka vitu vyangu vya siri lakini nimeshindwa kuset password ili niweze kufungua kwa namba mmi peke angu naomba mwenye ufahamu na hilii aweeze kutupatia msaada naimani wengi wetu hatufahamu so itasaidia sana .natanguliza shukrani
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,970
2,000

Kwanini uliitupa karatasi ya maelekezo kabla ya kuisoma? Unaona sasa ubishi wenu eti kiswahili kinatosha, ujue kila mkoba huwekwa maelezo, ulaya huwa hawana jirani wa kumuuliza.
 
D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
2,870
2,000
Natumai umenunua ikiwa 000 au 333,
Cha kufanya bofya pembeni kisha Weka pincode (unazotaka),
huku umebofya pembeni pale then weka lock huku umeshikilia baada ya kuweka lock chezesha zile namba hiyo lock haitatoka mpaka uingize namba(pincode) ulizoziset hapo juu.
Nimejitahidi kuelezea kwa uzoefu nliokuwa nao pole kama hiyo briefcase yako itakuwa tofauti na ninayoelezea na samahani kama sijaeleweka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom