Kuna madhara yoyote ya kunyoa nywele za kifuani(GARDEN LOVE)?

mambali

Senior Member
Oct 16, 2012
172
225
HABARI WAKUU MBALIMBALI; Kuna mdau kanielezea yeye hapendi nywele za kifuani so toka zimeanza kuota amekuwa na tabia ya kuzinyoa kila ikifikia level flani ni kwa muda sasa amekuwa akifanya hivyoo, anauliza je kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea hapo mbeleni???
 

Erickford4

JF-Expert Member
May 22, 2017
1,139
2,000
Madhara yake unavyozinyoa ndio zinakuja kwa kasi.. Kwani shem hapendi kuzishikashika mkiwa kitandani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom