Ni taratibu gani zinatakiwa baada ya kumpata mwenza hadi kufunga ndoa?

mambali

Senior Member
Oct 16, 2012
172
225
Habari wana jamvi,

Naomba nipate utaratibu ni hatua gani zinatakiwa zifuatwe baada ya kumpata mwenza hadi kufikia hatua ya kufunga ndoa namaanisha baada ya wazazi kuwatambua ni hatua gani zinafuatia kwa mtiririko!

Nitashukuru sana kwa msaada wenu upande wa ni wakristo thehebu katoliki upande wa mila no hizi mila zetu kama zilivozoeleka.
 

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
6,979
2,000
inategemea na dini yenu na mila za pande zote.so hapa hautopata jibu unless ur specific
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom