Usafiri wa Kwenda Iringa, Mafinga au Makambako

Baba mlezi

JF-Expert Member
Apr 22, 2013
237
48
Nina safari ya kwenda Makambako Njombe,siku Ya kesho tarehe 23.12.2015 ila mabasi yote ya huko yamejaa. Kwa yeyote mwenye usafiri na anaelekea njia hiyo msaada tafadhari. tupo watu wawili

Tunatokea Dar kwenda Njombe.
Tupo wawili mie na wife tuna begi moja
 
Mwanaume Jifunze kupanga (kuplan) safari kwa kukata tiketi mapema kwenye gari unayoipenda. walau siku tano kabla hasa msimu wa sikukuu za christmas. Tabia ya kukurupuka siyo nzuri. Otherwise iwe ni dharura. Ona sasa wife unampakia kwenye IT au FUSO au SEMI trela.
pole.
 
Bahati nzuri Mungu alikuwa Upande wangu.
 
Back
Top Bottom