Recent content by MAMAA MNYALU

  1. M

    JamiiForums Tanzania Asili ya jina Mseke

  2. M

    JamiiForums Tanzania Asili ya jina Mseke

  3. M

    JamiiForums Tanzania Naipenda Dar kupita maelezo

  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupotelewa Kwa Vyeti Vyangu vya Masomo, Zawadi Nono Atakayenisaidia Kuvipata

    Pole sana mkuu unaweza kwenda kuuliza posta ya temeke baadhi ya wezi wakimuibia mtu wakikuta kuna documents za muhimu huzipost ofisi ya posta kuna baadhi ya watu walioibiwa vitu vyao walivipata posta.Pia tujifunze kuandika namba za simu juu ya bahasha inarahisisha hata kama umedondosha mtu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Taratibu ya uhamisho wa mwanafunzi wa Sekondari

    Unatakiwa utafute nafasi katika shule atakayohamia ukishapata shule unaandika barua ya maombi ya uhamisho,maombi unaandika kwa afisa elimu wa mkoa anaohama mtoto barua hiyo utaisainisha kwanza kwa mkuu wa shule atakayohamia mtoto kuthibitisha kuwa nafasi ipo halafu utaipeleka kwa mkuu wa shule...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu QT na Reseater

    Unaweza kureseat masomo yote kwa kuwa utafanya usajili wa masomo unayotaka kureseat baada ya kulipia ada ya mtihani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu alifanya QT 2013, anaruhusiwa sasa kufanya NECTA 2016?

    Mpigie Mr.Ngwada no.0713 605598 yupo posta mpya anahusika na masuala hayo ya NECTA atakupa maelezo yote
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bata Mzinga elfu 90

    uko wapi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Mkewe wamtembelea Kardinali Pengo Muhimbili

    Pole sana baba kadrinali Pengo tunakuombea upone
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mchungaji Getrude Lwakatare yapigwa X

    Jamani nyumba nzuri sana ipo bondeni au?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo ya majipu na kushitukiza imezimwa na shitukizo la kwa dk. Mwaka

    Ni kweli kuna mazuri pia
Back
Top Bottom