Msaada kuhusu QT na Reseater

Na mimi niongezee swali apa apq je mtu aki reset anapewa cheti kipya cha hayo masomo aliyo rudia? au kinatokq cheti kimoja kikijumuisha na masomo ya kile cha mwanzo
 
unapewa cheti cha masomo uliyoreset pekeyake na cheti chako chazamani unakuwa nacho as usual ,......na QT Ni program kama mtu ulimaliza la saba hukuendelea sasa unaamua kusoma inshort upate cheti cha form4,..unasoma ndani ya miaka2 na mwaka wa mwisho yaani mwaka wa pili unafanya mtihani wa mwisho yaani wa form4,...ukifanya vizuri unapata cheti chako cha form4,..but am not sure sababu sijawahi kusoma hizo elimu but kwa uelewa wangu mdogo ktk hilo swala majibu yangu ndo hayo...,
 
Asante
 
unapewa cheti cha masomo uliyoreset pekeyake na cheti chako chazamani unakuwa nacho as usual ,......na QT Ni program kama mtu ulimaliza saba hukuendelea sasa unaamua kusoma inshort upate cheti cha form4,..unasoma ndani ya miaka2 na mwaka wa mwisho yaani mwaka wa pili unafanya mtihani wa mwisho yaani wa form4,...ukifanya vizuri unapata cheti chako cha form4,..but am not sure sababu sijawahi kusoma hizo elimu but kwa uelewa wangu mdogo ktk hilo swala majibu yangu ndo hayo...,
Umechanganya mkuu.QT ni Qualifying Test,means ni kipimo cha kumpima mtahiniwa ili kujua kama atamudu mtihani wa form 4.Ndio kusema mtu akishafaulu huo mtihani akiendelea huko mbele anakuwa sio Q
unapewa cheti cha masomo uliyoreset pekeyake na cheti chako chazamani unakuwa nacho as usual ,......na QT Ni program kama mtu ulimaliza la saba hukuendelea sasa unaamua kusoma inshort upate cheti cha form4,..unasoma ndani ya miaka2 na mwaka wa mwisho yaani mwaka wa pili unafanya mtihani wa mwisho yaani wa form4,...ukifanya vizuri unapata cheti chako cha form4,..but am not sure sababu sijawahi kusoma hizo elimu but kwa uelewa wangu mdogo ktk hilo swala majibu yangu ndo hayo...,
Qualifying Test(QT)ni mtihani mmoja tu ambao mtahiniwa akifaulu anaweza kuomba namba ya kufanya mtihani wa form4.Kwa hiyo mwisho wa QT ni ule mtihani,ukiendelea hapo unatahiniwa sawa sawa na re-seater au school candidate.Ukifanya mtihani wa 4 ukifaulu masomo matatu unaruhusiwa kuendelea na 5&6 kwa mwaka mmoja.Ukimudu huo wa six unaingia chuo kikuu kama kawaida.
 
QT haikupi Cheti cha form four Ila inakupa sifa ya kuweza kufanya mtihani wa form four.Hawa wengine walio kwenye mfumo rasmi wana mtihani was form two.Hawa wa QT badala ya mtihani was F2 wao wana QT
 
Miaka kadhaa iliyopita nilifanya QT,ni Qualifying Test ambayo ipo chini ya taasisi ya elimu ya watu wazima,hasa hasa masomo ya kufanyia qualifying test ni masomo ya maarifa,masomo matano tu,mnapewa paper moja na humo ndani kuna maswali ya masomo tano uliyosoma yaani Geography,civics,kiswahili,English na history.ukifaulu ndo unapata kibali cha kufanya mtihani wa form IV kama private candidate na ukifaulu unapata cheti cha form IV na kuendelea na elimu ya form V &VI.

Hii program imesaidia wengi ambao hawakubahatika kuchukulia form one,....but wapo waliosoma huko na wakafika vyuo vikuu nikiwepo,kwahiyo ukiona njia moja imefugwa usikate tamaa kutafuta njia nyingine na utafanikiwa tu kutimiza malengo yako
 
QT haikupi Cheti cha form four Ila inakupa sifa ya kuweza kufanya mtihani wa form four.Hawa wengine walio kwenye mfumo rasmi wana mtihani was form two.Hawa wa QT badala ya mtihani was F2 wao wana QT
oohh shukrani kaka,..nlijitahidi kutoa msaada kwa juujuu tu,...ila nilimwambia sina knowledge saaana,..shukrani ndugu
 
Umechanganya mkuu.QT ni Qualifying Test,means ni kipimo cha kumpima mtahiniwa ili kujua kama atamudu mtihani wa form 4.Ndio kusema mtu akishafaulu huo mtihani akiendelea huko mbele anakuwa sio Q

Qualifying Test(QT)ni mtihani mmoja tu ambao mtahiniwa akifaulu anaweza kuomba namba ya kufanya mtihani wa form4.Kwa hiyo mwisho wa QT ni ule mtihani,ukiendelea hapo unatahiniwa sawa sawa na re-seater au school candidate.Ukifanya mtihani wa 4 ukifaulu masomo matatu unaruhusiwa kuendelea na 5&6 kwa mwaka mmoja.Ukimudu huo wa six unaingia chuo kikuu kama kawaida.
nashukuru mkuu kwa knowledge
 
wakubwa nisaidieni kutokana na ufaulu huu naweza kwenda advance private?
Biology D
History D
English D
Kiswahili C
Geography D
Chemistry D
Civics C
Physics F
Maths F
nakama siwezi kwenda je, ni kozi gani nzur naweza kusoma wapendwa maana hapa nilipo sielew kitu zaidi yakuwa na mawazo mengi . ..
 
Huwez unatakiwa uwe na C tatu

Back
Top Bottom