Hapa unamaanisha boko na bunju au chanikaDar vijijini au dar mjin
Nyie ndo mnaotoka huko vijijini mkiingia dar mnaasi hamtaki kurudi kwenuNaipenda mpaka inakera, nikitoka nje ya Dar mwisho wiki mbili tu naanza kuimisi Dar yangu, na kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo inavyozidi kujidhihirisha kwamba siwezi kuishi sehemu nyingine isipokuwa Dar!
Nyie ndo mnaotoka huko vijijini mkiingia dar mnaasi hamtaki kurudi kwenu
Kwani sio Dar. Anaenda city centre akitaka.Anakaa Mabwepande halafu anasema anakaa Dar...aaah aaah!