Recent content by Mama_Aheshimiwe

  1. Mama_Aheshimiwe

    Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

    Usikubali 50/50 ndani ya nyumba yako Mwanaume ndio mwenye kauli ya mwisho
  2. Mama_Aheshimiwe

    Car4Sale Nauza Toyota Rumion

    Picha ziko wapi tutathmini na hayo marekebisho
  3. Mama_Aheshimiwe

    KERO Responded Adha ya ubovu wa barabara kivule

    Cha muhimu hii serikali ya ccm inatudharau sana na ni kuipiga chini kwa ustawi wa siku zijazo bila hivyo tutapata tabu sana Viongozi wote wa serikali na WA chama wanafika kila siku kukagua miradi ya maendeleo hususani hii hospital ila hakuna jipya wanalotatua wanapongezana tuu Hospitali...
  4. Mama_Aheshimiwe

    Jinsi mikopo ya kausha damu inavyochochea ngono zembe

    Nimsaidie Vicoba Kuna kupanda hisa,sasa unapewa mkopo kulingana na hisa ulizowekeza maana yake ukishindwa kulipa mkopo unatozwa fine au hisa zako zinakatwa kufidia deni Hivyo basi waliopo vicoba hata km amekopa akashindwa rudisha hana sababu ya kujiuza maana hisa zake zitamfidia Hao Kausha...
  5. Mama_Aheshimiwe

    Kwanini tukienda hospitali zile fomu za NHIF hawafungi hesabu pale chini?

    Sio kila daktari anayekuona anajua bei ya dawa/huduma aliyokupa zilizoko kwenye mfumo wa NHIF Hospital nyingine tayari wameunganishwa online ukisaini maana yake na gharama zimepigwa papo hapo automatic Sasa ukija kwenye hizi hospital zetu za Serikali bado changamoto ni kubwa ya watendaji kwa...
  6. Mama_Aheshimiwe

    Kuota kwa meno siyo chanzo cha tatizo la kuhara kwa watoto

    Asante kwa ufafanuzi mzuri Nahisi point ilikua hapo kwenye kusugua fizi anaweza kula chochote kikasababisha kuharisha sema wazazi wa kileo hawakujua hilo wao walilibeba lilivyo
  7. Mama_Aheshimiwe

    Mnenaji wa leo katika Kongamano la Karismatiki Kanisa Katoliki Dodoma ni Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama

    Haya uliyosema ni kweli Ila Ukristo ni imani ya kila mtu peke yake na dhehebu sio njia ya uzima
  8. Mama_Aheshimiwe

    Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    Mil 5 unachukua? Nijibu hapahapa
  9. Mama_Aheshimiwe

    Taliban yaamuru TikTok kupigwa marufuku kwa madai inapotosha Vijana

    Halal kabisa maana watu wanavyokatika viuno huko na kujiremba hujui Me na Ke tofauti zao Ila sijui kama huo ndio upotoshaji
Back
Top Bottom