Kwa akili niliyonayo sasa kama ningepewa nafasi ya kuchagua pengine nisinge chagua dini yangu ukristo

jokotinda_Jr

JF-Expert Member
Apr 9, 2022
882
1,517
Katika hali ya kawaida nimekuwa nikiwaza sana pia naona mambo mengi sana kila nikienda katika nyumba ya ibada kuna mambo mengi sana yanayo endelea ambayo hayapo ndani ya biblia au katika maqndiko tuna tumia mda mwingi kufqnya mambo ambayo kwa upande wangu naona hayana afya katika ulimwengu wa roho

Tuna tumia mda mdogo sana katika kufanya ibada nimejikuta pengine ningepewa uhuru wa kuchagua pengine nisinge chagua UKRISTO ...au ningepewa nafasi ningebqdilishq mambo mengi sana katika kanisa pengine ni ngeonekqna sifai

Wewe unaweza ukqenda kanisani kwa lengo la kuabudu kumbe mwenzako anakuchukulia kama fursa flani akutengenezee mazingira mwisho wasiku utambiwa toa pesa ukija kwenye mahubiri ndo usiseme nikutoa kutoa kutoa sina nia mbaya na kutoa lakini unaona kabisa unatoa kwa kutengenezewa mazingira

Najua kina wafia dini humu ndani watasemq nimekengeuka au kukufuru ....hapana kuna mambo ukiona hayapp sawa lazma useme
Narudia tena hata ningepewa options ya kubadili jina nahisi ningesha badili kitambo UKRISTO ni dini nzuri sema kuna watu wamesha fanya kama sehemu yakujipatia fesha naona na nduguzetu WAISLAMU nao wameanza kubadilika kwenye baadhi ya mambo eti wanasema wana mwamini HUSSEIN cjui ndo nani tena
 
Bado una muda wa kuchagua kama mimi vile nina imani yangu binafsi ambayo ni binafsi
 
Twende nikupeleke kwa Kissendi Nyanda NTALIMA MPANDAGOYA akuondoe kwenye ukondoo, ukaabudu mizimu ya watu wa kale
 
Kutoa sio lazima ndiyo maana hulazimishwi,, hizi modern churches aka wajasiriadini kweli ni tatizo.
 
Shida ilianzia hapa. Kwasasa dini zinawapoteza watu
IMG_20220425_210107.jpg
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom