Recent content by Mama yake Junior

  1. Mama yake Junior

    JamiiForums Tanzania JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Nice pic
  2. Mama yake Junior

    JamiiForums Tanzania Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Muda wako ukifika utaajiriwa tu maana hata mi langu sijaliona nimetulia tu sindano iniingie sawasawa
  3. Mama yake Junior

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuning'iniza funguo za gari kiunoni

    Mwingine akipita utajua ni yule paka alofungwa kengele
  4. Mama yake Junior

    JamiiForums Tanzania Kwanini uliacha kwenda kanisani?

    Hahahaha toa mkuu umesahau mchango wa sahani za jumuiya na masufuria A
  5. Mama yake Junior

    JamiiForums Tanzania Walimu mmetengeneza chuki mbele ya jamii

    Walimu wanalaumiwa lkn afanyeje maisha magumu motisha hakuna chance kama hizi inabidi uombe tu yaani
  6. Mama yake Junior

    JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

    Bunge liwe la ccm tu baaasi na viti vibadilishwe rangi ya mbogamboga
  7. Mama yake Junior

    JamiiForums Tanzania Girlfriend kichefu chefu kweli. Ndio aende hatua ya uchumba huyu?

    Muelekeze tu ataelewa taratibu
  8. Mama yake Junior

    JamiiForums Tanzania Maeneo yanayoongoza kwa bodaboda Tanzania

    Songea ,mbinga
  9. Mama yake Junior

    JamiiForums Tanzania Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

    Akawe muislam kweli ,,,kila la heri kwake kwa maamuzi
  10. Mama yake Junior

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli: Gambo sikumfukuza Ukuu wa Mkoa bali aliniomba akagombee Ubunge baada ya kuona Arusha inakwama

    Nakosa la kusema tu lkn tumuombee tu rais wetu
  11. Mama yake Junior

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Wilaya ya Chamwino ampiga makofi mwalimu hadharani kwa kuchelewa semina

    Huyo afisa elimu sijui anajikuta nani? Na huyo mwl sijui amekula maharage ya wapi?
  12. Mama yake Junior

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Uyui chukueni hatua kwa Mwalimu huyu anayewalazimisha watoto wa kike kufanya nae ngono uzembe!!!

    Mwalimu naomba uache hiyo tabia kwani unafanya walimu waonekane wa hovyo ,,,,,mitaani kuna pisi kali Kama vipi chagua mmoja mnunulie sare za shule
  13. Mama yake Junior

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

    Duuu hatari Bora alivohukumiwa
Back
Top Bottom