Maeneo yanayoongoza kwa bodaboda Tanzania

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,437
2,000
Kuna sehemu hapa nchini kuna bodaboda nyingi mno either kwasababu ya ubovu wa barabara hivyo magari hayawezi kufika baadhi ya maeneo au kwasababu ya uhaba wa usafiri wa umma.

Moja ya hayo maeneo ni Kibaha, Kwa Mathias. Wakazi wa maeneo hayo wanatumia zaidi bodaboda kwasababu hamna usafiri wa umma kutoka stand kuelekea maeneo ya mbali na hapo kama Msangani, Efatha nk

Maeneo gani mengine hapa nchini kuna bodaboda nyingi sana?
 
born again pagan

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
2,234

Umewahi kufika Songea wewe....utadhani viwanda vya Bodaboda vipo kule.
 
Kurutu wa Mungu

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
250
500
Kuna sehemu hapa nchini kuna bodaboda nyingi mno either kwasababu ya ubovu wa barabara hivyo magari hayawezi kufika baadhi ya maeneo au kwasababu ya uhaba wa usafiri wa umma.

Moja ya hayo maeneo ni Kibaha, Kwa Mathias. Wakazi wa maeneo hayo wanatumia zaidi bodaboda kwasababu hamna usafiri wa umma kutoka stand kuelekea maeneo ya mbali na hapo kama Msangani, Efatha nk

Maeneo gani mengine hapa nchini kuna bodaboda nyingi sana?
Mlandizi aisee yaani ukitembea mtaani unakuwa unakazi ya kupisha bodaboda
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,071
2,000
Kuna sehemu hapa nchini kuna bodaboda nyingi mno either kwasababu ya ubovu wa barabara hivyo magari hayawezi kufika baadhi ya maeneo au kwasababu ya uhaba wa usafiri wa umma.

Duh!!!!!
Wa gari... oyoooo..
Bora unajibiwa vizuri..
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
6,242
2,000
Bukoba kwanza walianzia zamani,walichukua utaratibu wa bodaboda kutoka Uganda kipindi ambacho ukubongo bado azijakuwa rasmi.ila nchi kama Uganda tayari zilikuwa ni usafiri rasmi.
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,173
2,000
Mkuu sasahv yan ndo wamezidi kufupisha wanaita YEBO tu , yan unaambiwa wakianza kufukuzia gari za abiria toka Dar au mkoa mwingine, kuanzia stend ya msamala had stend kuu utafikiri kuna maandamano vile!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha dah aisee natakiwa niende tena Songea aisee. Ila nadhani kule ndio moja ya sehemu za mwanzo kuanza bodaboda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom