Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Muislamu hautaki mabwabwa, sasa huyo kijana ameacha mambo ya ubwabwa?
Pia sina uhakika kama maisha ya huyo kijana yalikuwa ya kikristo hata chembe. Naona kama njia ya kutafuta kick.
Hakika Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe kwa wale watakao rudi kwake. Mwenye kutoa hukumu ni Maulana pekee

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Karibu kwenye njia ya haki
FB_IMG_16034794214679617.jpg
 
Waislamu hua wananiacha hoi, yaani dini yao ni kama bidhaa, kutumia watu maarufu na wasanii kuitangaza.

Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini, utafikiri wanatangaza bidhaa.

Hua najiuliza kwani kwenye dini yao moyo wa msanii una thamani kubwa sana kwa allah wao kuliko mtu asie maarufu ama msanii, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu maarufu kuslimu?

By the way Mungu au kitu kinaitwa Mungu hakipo.
 
Embu wekawazi hapa nguvu gani na kiasi gani cha fedha kilichomshawishi Ben Pol mpaka ameshawishika kuwa Ulamaa?
 
Waislamu hua wananiacha hoi, yaani dini yao ni kama bidhaa, kutumia watu maarufu na wasanii kuitangaza.

Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini, utafikiri wanatangaza bidhaa.

Hua najiuliza kwani kwenye dini yao moyo wa msanii una thamani kubwa sana kwa allah wao kuliko mtu asie maarufu ama msanii, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu maarufu kuslimu?

By the way Mungu au kitu kinaitwa Mungu hakipo.

Umeongea kinyume kabisa, uislam unatumia pesa ?? Duuh maajabu hayaishi duniani
 
Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini
Asee we jamaa ni muongo sijapata kuona😅😅😅😂 hao waislam wanaolipa watu ili wapate hiyo unayoiita millege ya kidini wako hapa hapa bongo au? Au ndo kina mazinge na mwenzie kipozeo? 😂 kwa taarifa yako tu mizigo inatolewa huko kwenu kulikojaa utapeli na uongo. Hivi maisha ya mazinge na mwingira ni Sawa? Na je maisha ya kipozeo na gwajima? Na Hawa wote Wana daraja moja kiupande wa dini,,, ila kwa kuwa huko Kuna miela ya bure na upigaji ndio manaa Hali zao zimetofautiana. Huku kila kitu kinafanywa kwa ajili ya mwenyezimungu na kujitolea na ndio maana Hakuna shekhe tajili,,,, Sasa hizo hela unazosema wewe tunawapa watu maarufu ili wautangaze uislam sijui hela hizo ni zipi
 
Back
Top Bottom