Tabia ya kuning'iniza funguo za gari kiunoni

Imagine umeweka simu mfukoni, humo humo umeweka funguo, lazima utakuwa mteja wa vioo vya simu kariakoo kila siku.
Funguo ya gari vyema ikae kwenye holder na ining'inizwe mahali salama kwenye nguo ama mahala pengine. Simu nayo kuweka mfukoni kama umekaa mahali unakula bata, sio vizuri kuweka mfukoni unakosa pose zuri la kukaa na unaweza kuivunja.
Kanyunyu wa Manzese hapa anauliza
Kwani zile ni simu za mkononi/kiganjani au za mfukoni!?

🙂 Msinipige sasa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukivaa kadeti yako au jeans ukachomekea ukavaa buti la kibabe ukaninginiza Funguo yako tabu ya nini inapendeza sana
 
Kipindi sijamiliki gari nilikuwa na mawazo kama yako mtoa mada, ila baada ya kumiliki nikaja kugundua kuwa kwenye ruksi ndio the safet place ya kuhold funguo, ndio maana hata key holder imedesigniwa hivyo. Mkuu tafuta hata ka paso sikuhizi hata milioni tatu na nusu unapunguza gundu, then utakuja kujua kwa nini wanafanya hivyo.
 
Ukipitia bandiko langu lote kuna mahali popote nimesema mimi namiliki/similiki gari? Don't take JF too serious mkuu...[emoji3]
 
funguo ya gari inachogwa kwa shiling 20 efu iphone yangu ni Milion 3 ukiweka Mfukoni funguo na Simu yangu ya Iphone funguo inavunja simu yangu ya lphone kioo chake ni laki 4 kipi bora niweke funguo mfukoni au nifunge kiunoni. acha ujinga wengine sio wageni wa Magari tumekuwa nayo toka utawala wa Mwalimu. funguo na magari yamekuwa moja ya Maisha na familia zetu.
 
Kwa wale waliotembea nje hivi hii ni tabia mpaka huko nje ama ni ulimbukeni wetu Wa kuipata Gari ukubwani na tumezaliwa huko kijijini Muriba na kimusi jamani.

Sijajua kama mjukuu Wa trump ataona kama ni big deal kufanya ivyo mana tokea babu Wa babu yake ni mwendo Wa Mali kuzikuta nyumbani.

Yani huwa kuna tofauti kubwa ya MTU aliyezaliwa kwenye Mali akazikuta nyumbani na sie tutokao vijijini tukasoma tukawa na tuhela TWA kununua Gari vyenye thamani chini ya 100M.
Ni mawazo yangu lakini. Kama kuna siku nimekaa pale bonasera na malaika nakula zangu samaki sato Choma kuna watu wanaipiga picha nadhani ni kumbukumbu kwao ama kuwaonyesha marafiki ama social media ila MIE sioni haja yaa kupiga picha naona hakuna umuhimu Wa kufanya ivyo.

MTU anapanda ndege anapiga picha ila ilhali sijawahi muona kijana Wa Bill Clinton ama joji bush akipiga picha na kurusha mtandaoni kuwa anasafiri.

Remember empty vessels make the loudest sound but full one don't have to make noise.
umenena kweli jamaa huku wanachukua gari na kuendesha mpk station tu ya train then anapaki huyo na treni mpk town ofisini,jioni akirudi ndo anachukua gari huyo home.
Sasa aninginize funguo za nini akiwa lunch au kilajini,gari kwao ni km shati tu.
 
Issue sio kuhumia magari watu wanayo issue ni kuweka funguo kiunoni kwani mfukoni funguo hazitoshi? Au matangazo kuendesha tu inatosha ushaonekana una gari sa mpaka funguo juu ya meza au kiunoni hacheni ushamba .
Kwahiyo Ukiwa na uwezo wa kumiliki hayo ni ushamba
 
Kwanini unasema mtoa mada ni mshamba?

Hayo ni maoni yake ndo maana na wewe umesema huwezi weka funguo kiunoni sababu umejua ni ubishoo fulani hivi na kujionyesha.

Kama sio ubishoo kwa nini hawaning'inizi kwa kutumia zile key holder ambazo zipo kama spiral zamani zilikua zinatuka na hadi firimbi wanakuwekea?

1605524015112.png

Kama ni kuning'iniza basi watumie holder hiyo hapo juu, kwa mtu kama mlinzi sababu unakuta anaweza akawa na batch kubwa ya funguo ambazo haziwezi kukaa vizuri kwenye mfuko sio mbaya akining'iza funguo.

Na hiyo ya kuweka funguo na simu juu ya meza nayo naona ni changamoto unless nguo iwe haina mfuko au ndo ile tabia unakuta mtu ana simu tano sijui tatu (Hapa ndo huwa nashangaa sana huwa wanatumiaje sababu hiyo nayo ni dalili ya umasikini). Watu hao hao wanaoweka simu juu ya meza wakiwa kwenye starehe za usiku hutoona kitu juu ya meza sababu ya kuogopa kuibiwa na nguo unakuta amevaa zile zile sasa sijui huwa wanatunza vipi.

Ushamba wako ipo siku utakugharimu, sasa wewe mtu kuweka funguo mezani inakukera nini, funguo zikikaa mfukoni muda mrefu utapoteza ila hilo wewe hauwezi kujua mpaka umiliki gari, vilevile funguo au simu kukaa mfukoni wakati niko nyumbani au ofsini kwangu ni kero sana ila kiunoni hapana lkn siwezi kuona kichefuchefu kwa mwingine kuziweka kiunoni naona ni sawa tu.
 
funguo ya gari inachogwa kwa shiling 20 efu iphone yangu ni Milion 3 ukiweka Mfukoni funguo na Simu yangu ya Iphone funguo inavunja simu yangu ya lphone kioo chake ni laki 4 kipi bora niweke funguo mfukoni au nifunge kiunoni. acha ujinga wengine sio wageni wa Magari tumekuwa nayo toka utawala wa Mwalimu. funguo na magari yamekuwa moja ya Maisha na familia zetu.
Hiyo nguo yako inakua na mfuko mmoja tu sio?
😀 😀
 
funguo ya gari inachogwa kwa shiling 20 efu iphone yangu ni Milion 3 ukiweka Mfukoni funguo na Simu yangu ya Iphone funguo inavunja simu yangu ya lphone kioo chake ni laki 4 kipi bora niweke funguo mfukoni au nifunge kiunoni. acha ujinga wengine sio wageni wa Magari tumekuwa nayo toka utawala wa Mwalimu. funguo na magari yamekuwa moja ya Maisha na familia zetu.
Sawa.
 
Kwanini unasema mtoa mada ni mshamba?

Hayo ni maoni yake ndo maana na wewe umesema huwezi weka funguo kiunoni sababu umejua ni ubishoo fulani hivi na kujionyesha.

Kama sio ubishoo kwa nini hawaning'inizi kwa kutumia zile key holder ambazo zipo kama spiral zamani zilikua zinatuka na hadi firimbi wanakuwekea?

View attachment 1627616

Kama ni kuning'iniza basi watumie holder hiyo hapo juu, kwa mtu kama mlinzi sababu unakuta anaweza akawa na batch kubwa ya funguo ambazo haziwezi kukaa vizuri kwenye mfuko sio mbaya akining'iza funguo.

Na hiyo ya kuweka funguo na simu juu ya meza nayo naona ni changamoto unless nguo iwe haina mfuko au ndo ile tabia unakuta mtu ana simu tano sijui tatu (Hapa ndo huwa nashangaa sana huwa wanatumiaje sababu hiyo nayo ni dalili ya umasikini). Watu hao hao wanaoweka simu juu ya meza wakiwa kwenye starehe za usiku hutoona kitu juu ya meza sababu ya kuogopa kuibiwa na nguo unakuta amevaa zile zile sasa sijui huwa wanatunza vipi.
Kongole mkuu [emoji123]

Wewe umenielewa vizuri sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom