Walimu mmetengeneza chuki mbele ya jamii

Walimu mmetengeneza chuki mbele ya jamii

Yan chadema ndiomana akil zenu Zipo nyuma ya mat kwaio ili mtu awe Msafi kwenu lazima awaunge mkono dah yani bora ccm ndio ccm na chadema ni chadema kwa Hali mnayo onyesha kama mngekua nyie ndio ccm ingekua hatar
 
..mimi jimke langu ni lialimu...siku ya 2 kabla ya uchaguzi limeenda semina ya uchaguzi ...kila.siku linarudi usiku...siku ya kura likalala huko huko...tena lilikuwa lisimamizi...hata taarifa halikutoa nyumbani kuwa halitakuja home..kisa limekesha linaiba kura...kesho yake saa 4 ausubihi napita maeneo ya halmashari naona limepaki gari bar...tena limepakia mianaume lilikuwa libaiba nao kura..yako bar yanakula na kunywa ..kudadeki..nimelitimua hadi nyumbani...liko huko linakojua walipe makazi...kama ameolewa na serikali alale huko huko...
 
Fukuza kabisa hayana akili kabisa majialimu wakati ndo ya kwanza kulalamika hali ngumu.
 
Usikute anayetukana walimu hata Shangazi yake ni mwalimu pia!
 
Tangazo lilisema watalipwa sh.30,000/= (Makarani na Wasimamizi wasaidizi wa vituo) na sh.35,000/=(Wasimamizi Wakuu wa vituo) kwa siku 1,semina sh.30,000/= kila mtu kwa kila siku 1 ya kazi . Kusema kweli iliyoandikwa ilikuwa pesa ndogo sana na iliandikwa hivyo ili kuwakatisha tamaa watu wengi wasiombe kazi hiyo.

Ila kusema kweli jamaa walilipwa kati ya sh.290,000/= (Wasimamizi Wasaidizi) na sh.360,000/= (Wasimamizi Wakuu) kwa hizo siku 2 za kazi. Na 70% ya pesa hiyo walilipwa kabla ya kazi na ile 30% wakamaliziwa kesho yake. Wewe hiyo pesa ulikuwa huitaki?

Halafu suala la dola kufanya udanganyifu kwenye Uchaguzi hata wewe ungekuwa ndo unasimamia Uchaguzi kwenye kituo usingeweza kulizuia.Zuia uhatarishe maisha yako.Wewe ungeweza? Note:Kwa kusema hivi simaanishi kwamba naunga mkono 'ujambazi' uliofanyika.

Kama unadhani wewe ungeweza kuzuia wizi wa kura, kwanini hukushiriki kulinda kura hizo ili zisiibiwe na badala yake ukakaa mita 45,000 kutoka kituo cha kupigia kura (ilhali Upinzani ulikuwa unahamasisha wananchi wakalinde kura) ? Wewe pia unapaswa ulaumiwe kwa hili.

Pia,kwanini hukujitokeza kuandamana kupinga matokeo pale Viongozi wa Chadema walipohamasisha maandamano? Hapa napo huwezi kukwepa lawama.

Mwisho kabisa:Ishu hapa ni kwamba "the deep state" au the "bad boys" au "kitengo" walikuwa wamedhamiria kufanya ujambazi huo kiasi kwamba HAO WALIMU UNAWALAUMU BURE, NA HATA WEWE HUNGEWEZA KUWAZUIA "WASIOJULIKANA" KUFANYA YAO.
Paragraph ya nne na ya tano umemaliza kila kitu na ikititokea mshenzi huyo au mtu yeyote akapangua hapo basi naomba mnitag
 
Mimi ninacholaumu kujitokeza kushiriki kazi ambayo ni haramu wakati walijua kabisa kwa wakati huu lazima uchaguzi uwe haramu,shida watu tunazo na haziwezi kumalizwa na hiyo hela uloitaja. Huo ni sawa na ujambazi au kupata kipato isivyo halali. Kwa hiyo mnyororo wa dhambi hauwezi kuwaacha nyuma walimu ambao ndo walikuwa watendaji wa chini kabisa. Watu wapenda haki hatujitokeza kushiri suala maana dalili zilionekana dhahiri tangu mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo. Kuna jamaa yangu mwaka jana alipata nafasi ya kusimamia uchaguzi mwaka jana akawa anaelekezwa kufanya huo uharamia alitii lakini roho ilimuuma sana akaapa na kusema haitatokea afanye hiyo kazi tena,, huo ndo uungwana.
Wewe sasa unakwenda kinyume na kila mtu maana pande zote za vyama vinavyogombea walihamasisha watu wakapige kura kuwachagua

Kumbe wewe ulitaka hata uchaguzi wenyewe ususiwe kabisa... basi kama ni hivyo lawama zako na matusi ulitakiwa kuzielekeza kwa serikali na vyama vya siasa walioandaa na kuhalalisha kufanyike uchaguzi

Wala usipeleke hasira zako moja kwa moja kwa walimu (ambao mwenyewe umekiri kabisa kuwa ni watu wa chini sana hata kwenye uchaguzi walikuwa ngazi ya chini kabisa katika usimamizi wa uchaguzi)
 
Ukikutana na mtu akakwambia ye ni mwalimu mwangalie mara mbili mbili. Walimu ni choka mbaya
Ishi maisha yako na mwalimu ataishi maisha yake. Mfuate taahira mwenzio lisu alikoenda. Ila hapa sheria ni moja tu. Kijani
 
Mungu akibariki kwa kujitenga na uovu, mimi pia ni mwalimu lakini nilijitenga na huo uovu, ila nilisikitishwa na walimu wenzangu walìokimbilia hizo kazi huku wakijua halivyo,niliudhunika sana nilihurumia hii kada kwamba haitakaa iheshimiwe hata siku moja maana sisi wenyewe hatujiheshimu, wewe fikria inatangazwa kazi na dau la elfu 60 kwa sabini siku mbili walimu mbio mpaka hata vijana ambao hawana ajira wanalaumu walimu kuwaingilia kazi ambazo wangepata chochote kibaya zaidi ni hayo waliyoyafanya huku awali wakijua lazima yafanyike
..barikiwa sana....mimi jimke langu lilishiriki hii dhambi...na nimeliadhibu....kisa njaa wakati nyumbani kuna kina kitu...
 
Kuna mwalimu alinikanyaga bahati mbaya bar nilimsukuma vibaya Sana akadondoka chini haikuwa dhamira yangu ila hasira zilinipanda baada ya kukumbuka uchaguzi pia nimepa notice waondoke kwangu nataka kuuza nyumba yangu hivyo nairekebisha kumbe ni ili yaondoke. Ni mapangaji yangu. Msimu huu wa mvua nawamwagia matope makusudi na gari Mungu anisamehe.
Kaka punguza jazba
 
Bora hata hao maaskari kwa utawala huu wamepata motisha wanapewa posho ya kutosha na pesa za fidia ya vinywaji kwa mwezi anaingiza laki nne isiyokuwa na makato na nje ya mshaara,sasa hao walimu wana motisha gani ya kujitoa ufahamu?
Walimu wanalaumiwa lkn afanyeje maisha magumu motisha hakuna chance kama hizi inabidi uombe tu yaani
 
Ule msemo wa msikini haaminiki ndio uliojidhirisha katika hiki kipindi.

Kitendo cha walimu kujitokeza kwa wingi kuomba kazi za kusimamia uchaguzi wakati wakijua hali ya kidemokrasia nchini haipo fair na ya kidhalimu, kimedhihilisha kuwa umasikini upelekea mtu kuwa mjinga.

Haya sasa walimu mmevuna mlichopanda mmejipeleka kufanya hiyo kazi pamoja kutangazwa dau dogo (elfu 30 kwa 35 kwa siku ×2 60/70) mkatii maagizo kutoka juu mkafanya mlio yafanya. Hii kazi ina laana sio bure.
Msimkwepe anayestahili lawama, kwa kufanya hivyo mhalifu ataendeleza uhalifu wake. Tatizo linajulikana na sio waalimu, litafutiwe ufumbuzi.
 
Usisahau kuna wajinga wengine wanaitwa watendaji wa mitaa ,vijiji na kata hawa ni janga. hawa ndo walifanikisha mipango miovu yoote
Hasira zenu CHADEMA zinawafanya kutengeneza maadui wengi zaidi kwenu badala ya marafiki ama watu wa kuwaunga mkono wao na familia zao!!!!
Hivi kwa matusi haya mnayowatukana WALIMU, POLISI, WATENDAJI WA MITAA, WATENDAJI KATA na kadhalika mnadhani mnapanda mbegu gani kwa chaguzi zijazo???
Mimi binafsi nina ndugu ninayemuheshimu sana ni Mwalimu!! Na nyie mnamtusi , kumbagaza na kumkejeli ndugu yangu huyu!!!! Na yeye ana watoto wake wakubwa tu wanaomtegemea ..... MNADHANI MTAWAPATA HAWA??!!
“Chadema mmepoteza Dira, iombeni radhi Tanzania”
 
Kumbe ni 70,000 kwa siku mbili?

What a shame aisee!

The whole country is poor,these people are really poor..I cant blame them kwakweli!

Hii country tunarudi kwenye poverty kwa mwendo wa hatari sana
Tafuta ukweli, siyo kila minachoandikwa hapa ni sahihi.
Nilipo walilipwa ifuatavyo:
1. Msimamizi mkuu 335,000.
2. Msaidizi 285,000
3. Karani 255,000.
 
Ule msemo wa msikini haaminiki ndio uliojidhirisha katika hiki kipindi.

Kitendo cha walimu kujitokeza kwa wingi kuomba kazi za kusimamia uchaguzi wakati wakijua hali ya kidemokrasia nchini haipo fair na ya kidhalimu, kimedhihilisha kuwa umasikini upelekea mtu kuwa mjinga.

Haya sasa walimu mmevuna mlichopanda mmejipeleka kufanya hiyo kazi pamoja kutangazwa dau dogo (elfu 30 kwa 35 kwa siku ×2 60/70) mkatii maagizo kutoka juu mkafanya mlio yafanya. Hii kazi ina laana sio bure.
Wewe pia ni msaliti mweye LAANA, uneshindwa kuingia barabarani kama wito wa mberigiji wetu!!😁😁😁
 
Kuna mwalimu alinikanyaga bahati mbaya bar nilimsukuma vibaya Sana akadondoka chini haikuwa dhamira yangu ila hasira zilinipanda baada ya kukumbuka uchaguzi pia nimepa notice waondoke kwangu nataka kuuza nyumba yangu hivyo nairekebisha kumbe ni ili yaondoke. Ni mapangaji yangu. Msimu huu wa mvua nawamwagia matope makusudi na gari Mungu anisamehe.
Huu ni upumbavu umeandika. Ego itakupoteza.
 
Back
Top Bottom