Prec condition ya chuo kijengwe wapi ilitolewa na Mandela mwenyewe kama wanataka kutumia jina lake. Alisuggest eneo ambalo the whole East Africa will be accessible to...
What? God forbid!
Tunakuwa waoga tu kwanini hii kazi isitangazwe watu wapewe nafasi ya kusema watadeliver nini/interview/select then vetted. Kuna vijana wengi tu capable nchi hii. Do we have to recycle DGs? Au kuna watu wamezaliwa maalum kuwa DGs-na kuua mashirika?
Hii style ya uongozi...
Usawa kwa wanawake Afrika bado sana.....
Hiyo mizani kuna wakati italemea sana upande wa mama then itashindwa kuhimili...sasa inategemea ni kwa kiasi gani mwanamke anatambua uwezo wake. Kwamba na yeye ni "mtu sawa kwenye huo muungano". Wanawake huwa tunaachia mambo yanatutesa wee ukija...
Hata mimi naungana na wewe Kuhani...nilitegemea Mengi atoe maelezo ya kueleweka. Waziri fulani bin fulani na awe na evidence. Nafikiri pia Mzee Mengi anapenda "sifa" kitu kidogo tu keshaweka "Press Release" anatoa vitamko tamko. Tumemsikia lakini hatujaelewa anasema nini ...........! Au saa...
Kila siku nimekuwa nikijiuliza hasa kazi ya bwana Salva ni nini? and what is he trying to achieve? To my suprise kama Mkurugenzi wa Habari Ikulu bado anatumia address ya YAHOO...yuko serious ama?
Ush...usijali ilikuwa usiku kwa hiyo sikuweza kupata maelezo.
Dereva wa bajaj wa kituo cha Mlimani city aliniahidi kwamba leo atafanya initiative ya kwenda kwenye vyombo vya habari na mimi nikaahidi kucreate awareness through JF.
Of course kitakachofuata utakiona...huu ni mwanzo ....Ijumaa njema
Jamani msimkweze sana huyu Lowassa....
Hana chake tena...ndio ameshajimaliza mwenyewe.
Isitoshe ametupotezea nafasi ya uwaziri mkuu kwa watu wa kaskazini.
Kiongozi gani shupavu na hodari anayewaibia watu wake. Give me a break!
Shy mind your language kajifunze ku address watu properly....not starting with "wewe".
Inawezekana hiyo ni opinion yako.
Huu ni ubaguzi. Bajaj zilikuwa zina "drop" watu na kuondoka na parking za bajaj ziko nje ya eneo la Mlimani City.
Kwa hiyo gaidi hawezi kupakia "benzi"?????? Nipe mfano...
Hayawi hayawi yamekuwa..........yale yaliyokuwa yakisemwa na Kina Mar. Prof Seth Chachage sasa yanaanza kujionyesha.
Wageni wanaanza kuleta "ubaguzi wa kimatabaka" kwa watanzania.
Jana nilishangaa pale mlinzi wa Mlimani City alipomwambia dereva wa bajaj kwa "Uongozi wa Mlimani City hauruhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.