Recent content by malu02

  1. malu02

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaetaka kuja Tarime mji mi nije Kahama mjini. idara secondary
  2. malu02

    JamiiForums Tanzania Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

    Mi pia nna wasiwasi na huu ugonjwa kuwa ulikuwepo coz mwezi ulopita katikati niliandamwa na kikohozi na mafua ambayo yalinisababishia homa mpaka kwenda kupima bt as you know hospital zetu ni mwendo wa malaria ukizingatia kichwa kilikuwa kinaniuma ndo kabisa. Nilipewa dozi ya pilton na syrup kwa...
  3. malu02

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenifanya nicheke Sana usiku huu.
  4. malu02

    JamiiForums Tanzania Yupi ni Mwanasoka Bora kwenye Upigaji wa Pasi uwanjani?

    Thiago Alcantara
  5. malu02

    JamiiForums Tanzania Ni nini kimemgeuza Magufuli hadi kuwakemea TRA kwa kuwatoza wafanyibiashara kodi kubwa?

    Sasa mbona huwa anajifanya zaidi hata ya malaika na kutokutaka kukosolewa au kupingwa!? Kama si malaika au kuhifanya Mungu basi aache watu wamkosoe ili ajirekebishe vizuri.
  6. malu02

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?

    Hivi kwa akili yako unaona michujo iliyopo sa hiv ni michujo ukweli ama usanii? Acha kujifurahisha kwa kauli za kisiasa za kufaulu na kushindwa kwa wanafunzi ukadhan wako siriasi. Kada ya Elimu tutaona matokeo take baada ya miaka kumi kupita. Kama na wewe ulifaulu kwa huu wastan D mbili kidato...
  7. malu02

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?

    Huyu huyu MTU sijui katoka nnchi yaani siamini kwa kauli zake hizi. Nakumbuka Bashite aliwaita walimu wakuu waandike barua za kujieleza kwann wanafunzi walifeli na bila kupenda wakaandika tena na kujifunga kwamba hawatafelisha tena, bt leo huyu mzee na akili zake timamu akijua sababu moja wapo...
  8. malu02

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?

    Aaaaaahhh....!! Siku hiz hakuna mchujo mkuu. Inafanyika sukuma liende. Ndo maaana unakuta mtoto yuko kidato cha kwanza ama cha pili hata kusoma ama hati ya mwandiko inafanana na aliyeko darasa la NNE.
  9. malu02

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Forced labour, land alienation, low capital, poor government policy, etc. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hizi point ni hatari sana kwa maswali ya Taifa.
  10. malu02

    JamiiForums Tanzania Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

    Kwenye hili nna wasiwasi na hata uhalisia wa Yesu mwenyewe coz isingekua rahisi pia kwa mzungu kumuua mzungu mwenzake kisa eti ni Masia ivo kwa point iyo nahisi hata Yesu mwenyewe alikua mweusi na ikapelekea kutafutwa Mweusi mwenzie kumsaidia msalaba.
  11. malu02

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Black women are sweet

    Tanzania ya Viwanda at construction
  12. malu02

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Poapoa mtoto wa nzi. Ngoja nikaicheki na mimi nkikuta imeingia nainyofoa yote.
  13. malu02

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau, hivi kuna MTU yeyote aliyeweka ela Princesses bet ama gal sport tz kwa wikend hii make toka Jana voda wameishikilia ela yangu kwenda prince na wanadai eti mitambo system yao inazingua na kwa gal sport nimejaribu kufanya depositing ndo inafail kabisa.. Msaada kwenye hili jamani.
  14. malu02

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu naomba tips kidogo za kujiunga sport pesa make kila nkijaribu wananiambia nskilizie verification code afu mwisho wa siku hawatumi wala nn. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. malu02

    JamiiForums Tanzania Msaada:

    Wakulima wenzangu naomba yeyote mwenye ufaham wa kiliimo cha karanga anijulishe ABC zake hasa ktk hali ya hewa zinapostawi sana, kiasi cha mvua zinazoitajika, udongo na hata magonjwa yanayozikumba na jinsi ya kukabiliana nayo. Nawasilisha...
Back
Top Bottom