Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?

Yeye Kasoma miaka 18 kwa kutumia Lugha ya kiingereza. Kuanzia form one-PhD na hajui kuongea kiingereza vizuri.
Wachina wanasoma kwa kutumia Kichina, itakuwa ajabu mchina aliyemaliza hata Sekondari kama hatakijua Kichina.
Magu ni kilaza mzee wa kukariri tu.
Hata Kiswahili ni shida.
Pointi yako ina ukweli
 
Rais Magufuli ameyasema hayo leo, Mei 2 wakati akizungumza na wanafunzi pamoja na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa, kilichopo mkoani Iringa wakati akitoa ufafanuzi wa shule za private na shule za Sekondari.

“Eti mtu amemaliza form 4 hajui kuandika barua ya kingereza. Kwani kusoma ni kujua kingereza? Wachina wanajua kingereza? mbona wanatengeneza mashine,” amehoji Rais Magufuli.

Aidha Rais Magufuli amesema kuwa “Shule za private wanafunzi wake wanachujwa, wakifika form 2 kuingia form 3 wanawachuja tena. Wanabaki na ile cream ili waonekane wanaongoza. Serikali inayowapenda wananchi wake haiwezi ikafanya hivyo.”
Ndio tatizo kubwa la Jiwe akitaka kuinua kitu juu.lazima aponde au atamani ashushe kilio juu
 
Kiswahili kinaongelewa sana, ni wakati sasa kitumike mpaka vyuo vikuu.
IMG_20180501_201552.jpg
 
“Eti mtu amemaliza form 4 hajui kuandika barua ya kingereza. Kwani kusoma ni kujua kingereza? Wachina wanajua kingereza? mbona wanatengeneza mashine,” amehoji Rais Magufuli.


Halalisha kiswahili kiwe lugha ya kufundishia au elimu yetu iwe kwa kiingereza kwa shule zote binafsi na umma tutakuelwa
 
Kama umesoma kwa kutumia Kiingereza kuanzia kidato cha kwanza mpaka PHD ni lazima uwe unajua Kiingereza.

Kama hujui ujue wewe ni kilaza na elimu yako ni ya kubumba. Ukiandikaje mitihani yako? Uliandikaje research report yako ya Undergraduate? Uliidefend vipi orally hiyo research? Vipi desartation ya Masters degree ulikopi wapi?! Hiyo PHD ulidefend vipi?
 
Kama serikali inapenda wananchi wake kuliko private kwanini wanachujwa la nne, la saba, kidato cha pili, kidato cha nne na cha sita. Si wanawapenda kwanini wasipite wote
Aaaaaahhh....!! Siku hiz hakuna mchujo mkuu. Inafanyika sukuma liende. Ndo maaana unakuta mtoto yuko kidato cha kwanza ama cha pili hata kusoma ama hati ya mwandiko inafanana na aliyeko darasa la NNE.
 
zalisha kwanza,ujitegemee kama nchi,then ndio ujilinganishe na wachina,sasa tutawaombaje ma donor country pesa kama hatujui kingereza,lool
Labda baadhi yenu ukisema wachina wanaona kama siyo wenzetu. Mbona Ethiopia wanatumia Amharic?
 
According to rais wetu ni bora tungefanya kiingereza kuwa lugha inayotumika katika masomo yote kuanzia std one to university level...
Anachoongea ni kweli maana kuna watu wapo vyuo vikuu lakin kuongea kiingereza ni shida
 
Back
Top Bottom