Recent content by malimingiii

  1. malimingiii

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

    Mkuu ww ndio huna hela, kuna watu kama hao na unakuta watoto wao wanasoma shule za kishua sana
  2. malimingiii

    JamiiForums Tanzania Master Jay: Diamond hamfikii Alikiba kwenye uimbaji

    Nakubaliana na yeye kabisa… ukiwa kwenye live show ndio unaweza ukaona hiyo tofauti kwa uzuri kabisa
  3. malimingiii

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuwa vocha zinasababisha kansa?

    Unasema uzushi kwa vile uliweza kuthibisha ni uzushi kwa kufanya research au unathubitisha kwa maneno?
  4. malimingiii

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wapitisha azimio kutaka vita isitishwe, Israel yapinga na yaongeza mapigo Gaza

    Mkuu embu fafanua kidogo hapa labda mm kilaza sijaelewa. Ina maana Hamas wanawapiga tu waovu? Kama sio mwovu hawakupigi? Kama ndivyo, wao mamlaka wameyapata wapi ya kupiga hao waovu? Na wanatumia factor gan kuamua huyu ni mwovu ama sio?
  5. malimingiii

    JamiiForums Tanzania Hawa GO BET wanapata wapi ujasiri wa Kutukana Watu Kisa tu hatujajiunga kwenye Hiyo mitandao yao Ya Kubet

    Mm nimetoka kugombana na tigo customer care sasa hivi kuhusu hii message. Makampuni ya sim nayo ni wajinga kuruhusu message kama hizi kufikia wateja wao
  6. malimingiii

    JamiiForums Tanzania Aliyevaa pempers Simba day amesema ana haki kufanya sanaa

    Yawezekana wewe ndio huoni hilo in another angle.. hapo juu kuna mtu amesema angefanya Joti ingeonekana ni udhalilishaji?
  7. malimingiii

    JamiiForums Tanzania Pesa TBL wanaipatia Serikali ni kubwa kuliko ya Utalii, tuhamasishe pombe

    Ngoja nirudie tena kusoma nitarudi ku-comment
  8. malimingiii

    JamiiForums Tanzania Alikiba unakera sana wakati mwingine!

    Mbona wimbo uko poa tuu.. umetulia na ujumbe wake hauna matusi. Utafananisha na nyimbo hizi ambazo mpaka ukisikia mtoto anaimba unataman umchape maana ni matusi matupu yameimbwa humo? Sometimes we need to learn how to appreciate
  9. malimingiii

    JamiiForums Tanzania Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    Kwan yule alikua kijana?
  10. malimingiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitendo walichonifanyia mwaka jana pale Cinemax. Kweli hawataenda Mbinguni mpaka leo nina jeraha kubwa sana

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. malimingiii

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    Bei tamu sana hii
  12. malimingiii

    JamiiForums Tanzania Kagueni magari yenu yakitoka kufanyiwa marekebisho.

    Dah.. hawa ndio mafundi halisi wa kibongo
  13. malimingiii

    JamiiForums Tanzania Huu sio ubinadamu kabisa

    Kuingia na simu kwenye chumba cha mtihani iwe bahati mbaya au makusudi ni kosa katika sheria za vyuo. Sheria ikishasema ni kosa uninadam unakaa pemben maana kila mtu angekua anahukumiwa kwa kutumia ubinadam na sio sheria magereza mengi sana yangeku wazi. Kiswaswadu kinaweza kuhifadhi sms nyingi...
  14. malimingiii

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?

    Hata Navara hujaielewa?
Back
Top Bottom