Recent content by malimi katoro

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Huu ndio mwarobaini (Suluhu) dhidi ya mimba kwa watoto wa kike mashuleni na majumbani

    Watoto wakike wamezidi vihere here,Wacha waipate
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Mkuu Mimi nakushauri ufungue Steshenari, hii inafaida kubwa sana, haina stress za vitu au bidhaa kuisha muda wake. Mchanganuo wake uko hivi, printer nzuri ni ya Epson ambayo ni L850 bei yake ni 850,000 Hadi 1,000,000, photocopy mashine ina-range kuanzia 1,000,000 Hadi 2,000,000 Bidhaa mfano...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla

    Nonsense!! Mungu wa kweli anawapenda sana waovu na huwapa miaka mingi ya kuishi akiamini kuwa watatubu. Na kama wewe ni mkristo kumbuka nukuu ya yesu aliposema hakuja dunia kwaajili ya kuwatafuta wema kama wewe Bali kuwakomboa waovu kama Mimi na huyo jamaa aliyefariki. Acha kujihesabia haki...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kununua aina ya Hiace

    Sijapata bado
  5. M

    JamiiForums Tanzania Siku nilipogundua kumbe nimuitae baba si baba yangu wa damu

    Mkuu baba au mama hawana faida ikiwa katika makuzi yako walikuwepo na wala hawakujishughulisha na wewe na huenda walikuwa na nafasi ya kuchangia chochote katika malezi yako ila hawakufanya hivyo. Kwahiyo ndugu yako ni huyo baba yako aliyekulea pasina kukubagua.komaa naye ukimtelekeza laana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kununua aina ya Hiace

    Waiting
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kununua aina ya Hiace

    Wakuu nataka kuingia kwenye biashara ya usafirishaji hivyo natamani kuanza na hiace . Bajeti yangu ni 13M Hiace iwe katika hali nzuri' iwe ni manual na inayotumia diesel
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanandoa, hivi mliwezaje kukubaliana kutokushikiana simu kuepusha magomvi yasio ya lazima?

    Unaweza kuwa na miaka 50 lakini bado ukafanya mambo ya kitoto, kuwa na upevuke kimaamuzi
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanandoa, hivi mliwezaje kukubaliana kutokushikiana simu kuepusha magomvi yasio ya lazima?

    Mwenza wako anayo haki ya kushika simu yako na kuipekua atakavyo, hiniingii akili kwa mwanamke niliyemtolea mahari ya 2M akaniamii na kunuvulia uchi wake na Mimi nikamvulia harafu eti simu ya laki mbili itutenganishe Hadi kuwe na masharti ya kwamba Ni marufuku wenza kuchunguzana simu zao. Mimi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jumapili nilimuangusha mke wangu kanisani, tulizua taharuki

    Wee na mkeo mnashida Nimevunja kibubu muda huu nimekuta 2,000 na mke wangu anasema hela hajui ilipo!
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Buriani Pendo, Buriani mpenzi yangu

    Acha uboya wa kujihesabia haki, kwani ndoa ndio tiketi ya kwenda huko peponi unakokuamini wewe?
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wananikabidhi watoto wao niwalee, Je nikubali au nikatae?

    Mkuu Mimi Naona Ni Bora kukataa kabisa ikajulikana mapema na sio kukubali na baadae zikaanza lawama, nakwambia utajuta. Nina mifano mingi sana ya workmates wenzangu waliojaribu kitendo hicho wakaishia kugombana na wazazi wa watoto hao, heri nusu Shari kuliko Shari kamili. Mimi mwenyewe Kuna...
Back
Top Bottom