Jumapili nilimuangusha mke wangu kanisani, tulizua taharuki

kinyamkela mahaba

JF-Expert Member
May 4, 2022
1,181
1,574
Mnaendeleaje na ujenzi wa Taifa? Jumapili nilifanya kitendo ambacho kimenipa maswali mengi ya namna ya kumtazama Mchungaji na washirika wenzangu kwa jicho lile lile la mwanzo. Naumia sana, na sijui hali itaishaje!

Ulikuwa ni wakati wa sadaka kanisa Z la kiroho hapa Dar, tulishakubaliana tutatoa 2000 kama familia ya Mr na Mrs X, sasa mfukoni nikabakiwa na 500 ya kununua maji njiani ili tunywe. Mwishoni wakatangaza sadaka inayohusu wamama, sasa akawa analazimisha achukue jero langu akatoe mchango.

Nikamuambia hatukukubaliana hivi, kikubwa sadaka tumeshatoa basi inatosha, hivyo tusubiri Jumapili ijayo kwani chaguo lilikuwepo. Lakini mwenzangu hakunielewa kabisa hivyo akalazimisha kuingiza mkono mfukoni mwangu, nikamfinya.

Akanisukuma kidogo nikahamaki nikasubiri ibada iishe, tulipotoka nje akaanza tena kuleta mdomo, nikamsukuma akaanguka, kuua aibu nikatengeneza mazingira ionekane kajikwaa. Ila nahisi wameshtuka kuwa nilimsukuma. Tumerudi nyumbani kanuna mpaka muda huu, na anaonesha kidonda kile ambacho kilitokana na kumfinya kule kanisani.

Hivi nauaje aibu hii? Na kwa nini huyu Manka hana heshima kabisa? Naona taswira yangu itachafuka nisipofanya kitu.
 
Jitahidi kuongeza kipato mkuu na kutembea na ziada ya pesa

Any way kaeni mjadili suala hilo wewe na yeye mtapata tu jibu mfanyeje.
 
Mnaendeleaje na ujenzi wa Taifa? Jumapili nilifanya kitendo ambacho kimenipa maswali mengi ya namna ya kumtazama Mchungaji na washirika wenzangu kwa jicho lile lile la mwanzo. Naumia sana,na sijui hali itaishaje.

Ulikuwa ni wakati wa sadaka kanisa Z la kiroho hapa Dar,tulishakubaliana tutatoa 2000 kama familia ya Mr na Mrs X,sasa mfukoni nikabakiwa na 500 ya kununua maji njiani ili tunywe,mwishoni wakatangaza sadaka inayohusu wamama,sasa akawa anafosi achukue jero langu akatoe mchango.

Nikamuambia hatukukubaliana hivi,kikubwa sadaka tumeshatoa basi inatosha,hivyo tusubiri Jumapili ijayo kwani option ilikuwepo. Lakini mwenzangu hakunielewa kabisa hivyo akafosi kuingiza mkono mfukoni mwangu nikamfinya.

Akanisukuma kidogo nikahamaki nikasubiri ibada iishe, tulipotoka nje akaanza tena kuleta mdomo, nikamsukuma akaanguka, kuua so nikatengeneza mazingira ionekane kajikwaa. Ila nahisi wameshtuka kua nilimsukuma. Tumerudi home kanuna mpaka muda huu na anaonesha kidonda kile ambalo kilitokana na kumfinya kule church.

Hivi nauaje soo hili? Na kwa nini huyu Manka hana heshima kabisa? Naona taswira yangu itachafuka nisipofanya kitu
Nina stress na siko ktk mazingira ya kucheka lakini dah nimecheka
 
Mnaendeleaje na ujenzi wa Taifa? Jumapili nilifanya kitendo ambacho kimenipa maswali mengi ya namna ya kumtazama Mchungaji na washirika wenzangu kwa jicho lile lile la mwanzo. Naumia sana, na sijui hali itaishaje!

Ulikuwa ni wakati wa sadaka kanisa Z la kiroho hapa Dar, tulishakubaliana tutatoa 2000 kama familia ya Mr na Mrs X, sasa mfukoni nikabakiwa na 500 ya kununua maji njiani ili tunywe. Mwishoni wakatangaza sadaka inayohusu wamama, sasa akawa analazimisha achukue jero langu akatoe mchango.

Nikamuambia hatukukubaliana hivi, kikubwa sadaka tumeshatoa basi inatosha, hivyo tusubiri Jumapili ijayo kwani chaguo lilikuwepo. Lakini mwenzangu hakunielewa kabisa hivyo akalazimisha kuingiza mkono mfukoni mwangu, nikamfinya.

Akanisukuma kidogo nikahamaki nikasubiri ibada iishe, tulipotoka nje akaanza tena kuleta mdomo, nikamsukuma akaanguka, kuua aibu nikatengeneza mazingira ionekane kajikwaa. Ila nahisi wameshtuka kuwa nilimsukuma. Tumerudi nyumbani kanuna mpaka muda huu, na anaonesha kidonda kile ambacho kilitokana na kumfinya kule kanisani.

Hivi nauaje aibu hii? Na kwa nini huyu Manka hana heshima kabisa? Naona taswira yangu itachafuka nisipofanya kitu.
Ukweli ni kuwa wewe na mkeo bado watoto wadogo
 
Yani amuheshimiani hata kidg,mnapeleka utoto hadi kanisani.
Watoto wenu mnawafundisha nn.

Alfu na ww mwanaume mzima akili huna sijui ni last born
 
Mnaendeleaje na ujenzi wa Taifa? Jumapili nilifanya kitendo ambacho kimenipa maswali mengi ya namna ya kumtazama Mchungaji na washirika wenzangu kwa jicho lile lile la mwanzo. Naumia sana, na sijui hali itaishaje!

Ulikuwa ni wakati wa sadaka kanisa Z la kiroho hapa Dar, tulishakubaliana tutatoa 2000 kama familia ya Mr na Mrs X, sasa mfukoni nikabakiwa na 500 ya kununua maji njiani ili tunywe. Mwishoni wakatangaza sadaka inayohusu wamama, sasa akawa analazimisha achukue jero langu akatoe mchango.

Nikamuambia hatukukubaliana hivi, kikubwa sadaka tumeshatoa basi inatosha, hivyo tusubiri Jumapili ijayo kwani chaguo lilikuwepo. Lakini mwenzangu hakunielewa kabisa hivyo akalazimisha kuingiza mkono mfukoni mwangu, nikamfinya.

Akanisukuma kidogo nikahamaki nikasubiri ibada iishe, tulipotoka nje akaanza tena kuleta mdomo, nikamsukuma akaanguka, kuua aibu nikatengeneza mazingira ionekane kajikwaa. Ila nahisi wameshtuka kuwa nilimsukuma. Tumerudi nyumbani kanuna mpaka muda huu, na anaonesha kidonda kile ambacho kilitokana na kumfinya kule kanisani.

Hivi nauaje aibu hii? Na kwa nini huyu Manka hana heshima kabisa? Naona taswira yangu itachafuka nisipofanya kitu.
Mara zote shetani huwa anatumia mtu wako wa karibu ili kukutoa kwenye uwepo,hebu jaribu kufikiria,umeomba na kutubu,na bado unamtafakari Mungu na ukuu wake ,mwenzako analianzisha,unajaribu kumueleza hakuelewi na anaanza kutumia ubabe,mimi niliwahi kukutana na tukio linafanana kidogo na hilo,yani mpaka mnafika nyumbani mmenuniana,hata unabaki kujiuliza nilienda kufanya nini kanisani.Anyway hizo ndio changamoto zilizopo kwenye ndoa nyingi sana,kinachohitajika ni kuvumiliana tu...
 
Piga magoti shuka muchumvi, hakikisha mpaka kinasimama Kama Dole gumba mpaka kitoe maji yote.
Mwanamke yoyote ukimfanyia hivyo anakusamehe makosa yako yote hata Kama ulitembea na shoga yake wa kupika na kupakua.
Sana Sana atakuuliza Nani kakufundisha hii kitu?
 
Mambo yameharibika sana siku hizi! Sehemu ambazo tulitarajia kwenda kupata faraja baada ya mataabiko sikuhizi hakuendeki bora utilie nyumbani ufuatilie ibada kwenye redio! Sasahivi kanisani kama unaenda na huna pesa unaenda kuzalilika utakacho ondoka nacho kanisani ni kibaya kuliko yaliyo kupeleka huko
 
Unaongozana na mkeo uku mfukoni una 2500 duh!

Sawa wanaume wapo wachache lakini tujitahidi kuchagua wamaana yani mnagombea 500 yani mtihani
 
Back
Top Bottom