Dah! Inasikitisha sana mtoto unamgharamia Alf anaenda kufanya ujinga ujinga...... Hapo nenda Kwa mkuu wake wa shule atakupa maelezo vizuri... Baada ya hapo nenda hata kwenye ofisi za ustawi wa jamii, na badae police upate RB.... Tumtafute huyo fataki apigwe 30 kwanza sio vizuri kuwaharibia...
Alipofariki yule Shekhe mkuu.. Mufti Issa Shaaban Simba.. Nilifikira huyu jamaa ndiye angekuchuka nafasi... Huyu Shekhe huwa namkubali sana kiukweli... Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu zaidi ya kuendelea kuifanya kazi yake vile impasavyo yeye
Mbowe mwenyewe ameshachoka na chadema ukimwangalia tu hana mbinu mpya tena za kuongoza chama...... Ndiyo maana ilitakiwa awaachie vijana mapema waje na fikra mpya za kuendesha chama.... Chedema kuanza upya si ujinga...... Anzeni kwanza kutengua uteuzi wa huyo Katibu mkuu wenu.... Maana...
Katika Vitu ambavyo Mwenyekiti Mbowe kachemka tena sana ni huyu bwana katibu mkuu huyu jamaa hafai kabisa hata hajulikani kabisa yupo wapi..... Viatu vya Dr Slaa ni vikubwa sana Kwa huyu jamaa.....
Huyu Jamaa nilivyokuwa Mbeya nilisikia sana story zake.... Jamaa anaishi kimbinu mbinu sana kesi kibao nasikia anapigwa chini..... Kuna jamaa wakawa wsnahoji labda alifanya magumashi kwenye vyeti au ndiyo zile elimu zetu tunasomea mitihani tu.... Kashfa nyingine anaukabila sana huyu jamaa...
Hongera Mh. Waziri.. Maoni ya wadau yamefanyiwa kazi..... Sasa cha ajabu serikali ilivyotangaza tulilalamika Kwamba kutakuwa na ugumu kwenye hilo.... Serikali imesitisha watu wanalalamika tena sijui huwa tunataka nini mda mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.