VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Kwa taaluma ni mwanasheri pia ni mwanasiasa ambaye haeleweki kabisa ... Toka awe mwanasheria wa kujitegemea hajawahi kushinda kesi hata moja kazi ni kuwalaghai wateja wake....
Kwanza alikuwa chadema akafanya mambo ya ajabu ajabu huko chadema mpaka akafukuzwa akahamia chama cha mapinduzi mpaka kwenye kampeni za last year akaenda mbali zaidi mpaka kusema kuwa hakuna wasomi kwenye kabila LA wasafwa yaani msomi ni yeye peke yake na ndiyo maana wanambeya hawakuthubutu kumpa kura!!!!
Anachokifanya sasa hivi baada ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa mwaka Jana 2015 sasa analaghai wananchi kwa kusimamia kesi ambazo ni za ardhi. Yaani anatetea watu ambao hawana hati ya viwanja kazi yake ni kukwepa kufika mahakamani sababu ya aibu yake anavyovurunda katika kesi anazokuwa anatetea wateja wake!!!!
Hana misimamo!!! Hafai kuwa kiongozi hata wa kuwa balozi wa nyumba kumi