Dr. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) yupo kama hayupo

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,491
2,355
Katibu mkuu ni kiungo muhimu sana katika ujenzi na ukwa chama kuliko hata Mwenyekiti. Tangu alipoteuliwa hatujaona cheche za katibu mkuu kama alizokuwa nazo Dr. Slaa.

Huyu bwana ni kama ameshindwa kazi maana huu ndio ulikuwa wakati muafaka wa kujenga chama kwa kuwa yule ni kama ameanza kupwaya kutokana na hali ngumu huku mtaani
 
chadema ni mfu
 
Katika Vitu ambavyo Mwenyekiti Mbowe kachemka tena sana ni huyu bwana katibu mkuu huyu jamaa hafai kabisa hata hajulikani kabisa yupo wapi..... Viatu vya Dr Slaa ni vikubwa sana Kwa huyu jamaa.....
 
Halafu nyie acheni mambo ya ajabu mnamjadili moja ya katibu msomi zaidi duniani kuliko makatibu wote wa vyama duniani
 
Ww unafikir kulima na wananchi amewasaidia nn kwani amekuwa trekta na kinana anafanyia kazi zile nilion 3 alizochukua wakat Wa kampeni mwizi tuu yule kwanza msomali
 
Dr.Mashinji plus Patrobas wa Bavicha hawafai.
Bora WENJE angeteuliwa kuwa katibu mkuu
 
Mbona mnapata muda Wa kuijadili cdm badala ya kujadili hali mbaya ya uchumi nchini inayosababishwa na serkali ya fisiemu
si naskiaga lowasa ni raisi mioyo yetu?? kwan lowassa karudi ccm?? kama hajarudi si yupo chadema na bado raisi wa mioyo yetu?? basi wacha tujadili
 
Back
Top Bottom