Mrumbi Nunda.
Member
- Nov 9, 2013
- 15
- 1
Kakataa kamera zisimmulike
Mkuu hapo wehu uko wapi?Watu kupashana habari za Mungu??
Sasa Mungu mwenyewe huyo kama mpaka ufunge safari kumfuata Lagos sijui sie tusio na uwezo huo tutapokea fungu gani! Au ni Mungu wa wenye nazo tu?
Ni maarufu wa nini huyo, wakati hata jina halijulikani?Mtu mwingine maarufu niliyemuona ni dada mmoja mtangazaji wa EATV simfahamu kwa jina.Inapendeza kuona bendera ya taifa lako ikionekana ktk tv inayofuatiliwa kuliko Channel yoyote ya Kikristo Duniani.
Mission imekubali sio?Kuna mamia ya Watanzania wakiwa na bendera za taifa letu ndani ya kanisa la SCOAN huko Lagos Nigeria.Godwin Godwe pia yumo.
Tunategemea Mungu awasimamie ktk kile kilichowapeleka.Angalia Emanuel tv muone bendera za Tanzania zinavyopepea live ndani ya SCOAN.
check hapa www.emanuel.tv

Haha, dah huyo mama wa zamani mno, I hope bado yupo.Muigizaji Dotnata nae yupo SCOAN live.