Ndugu hawa wako wapi?

chuwaalbert

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
3,598
2,117
WanaBodi,

Napenda kujua habari za wanasiasa wafuatao (yaani kwa sasa wako wapi na wanafanya nini?). Kwa nia nzuri kabisa kwa sababu wana jamii tumewamisi sana.

1. Isimail Aden Rage
2. Charles Keenja
3. Iddi Azan
4. Rostam Aziz
6. Abdul Rahman Kinana
7. Ritta Mlaki
8. Juma Othman Kapuya
9. Omar Ramadhan Mapuri
10. Augustino Lyatonga
11. Benedicto Mutungirehi
12. Christopher Sendeka
13. Seleman Kumchaya
 
b2204fd54afcde44ced1ea1cbc280cb5.jpg

swissme
 
Kwa kuongezea tu..... Ezekieli wenje, James Lembeli, David Kafulila, Wasira, H. Kiwia...... Felix Mkosamali
...Tuendeleze orodha: Assah Mbene, Muhingo Rweyimamu, Salva Rwey-Imamu, Novel a tour us Makunga, Elizabeth Chalamila, Gabri Ndyerumaki, Felix Sunzu, Imaa Okwii, Omar Mapuri, J J Okocha....
 
WanaBodi,

Napenda kujua habari za wanasiasa wafuatao (yaani kwa sasa wako wapi na wanafanya nini?). Kwa nia nzuri kabisa kwa sababu wana jamii tumewamisi sana.

1. Isimail Aden Rage
2. Charles Keenja
3. Iddi Azan
4. Rostam Aziz
6. Abdul Rahman Kinana
7. Ritta Mlaki
8. Juma Othman Kapuya
9. Omar Ramadhan Mapuri
10. Augustino Lyatonga
11. Benedicto Mutungirehi
12. Christopher Sendeka
13. Seleman Kumchaya
umesahau wengine
14 Babu Duni
15. Kingunge Ngombale Mwiru
16. Fredric T Sumae
17. Mabele Marando
18. Aliyekuwa waziri wa ulinzi( mbuge wa Nyamagana) kipindi cha Rais Kikwete
 
WanaBodi,

Napenda kujua habari za wanasiasa wafuatao (yaani kwa sasa wako wapi na wanafanya nini?). Kwa nia nzuri kabisa kwa sababu wana jamii tumewamisi sana.

1. Isimail Aden Rage
2. Charles Keenja
3. Iddi Azan
4. Rostam Aziz
6. Abdul Rahman Kinana
7. Ritta Mlaki
8. Juma Othman Kapuya
9. Omar Ramadhan Mapuri
10. Augustino Lyatonga
11. Benedicto Mutungirehi
12. Christopher Sendeka
13. Seleman Kumchaya
Samweli Sitta
Gharib Billal
Bernard Membe
 
Mh. Charles Keenja, Mh. Mapuri, na Mh. Mtungirehi nawakumbuka sana. Nadhani kwa mara ya mwisho Mh Mapuri alikuwa balozi wa Zimbabwe au China. Mtungirehi hakugombea tena (au alipoteza) ubunge. Keenja sikumsikia tena baada ya uwaziri wa kilimo.
 
wengine

1..Steven wasira
2..Membe
3..Mwandosyan
4...Samwel sita
5...Anne kilango
6..Cheyo
7...sofia simba
8....Nchimbi
9.....Zakiah megji
10...
 
WanaBodi,

Napenda kujua habari za wanasiasa wafuatao (yaani kwa sasa wako wapi na wanafanya nini?). Kwa nia nzuri kabisa kwa sababu wana jamii tumewamisi sana.

1. Isimail Aden Rage
2. Charles Keenja
3. Iddi Azan
4. Rostam Aziz
6. Abdul Rahman Kinana
7. Ritta Mlaki
8. Juma Othman Kapuya
9. Omar Ramadhan Mapuri
10. Augustino Lyatonga
11. Benedicto Mutungirehi
12. Christopher Sendeka
13. Seleman Kumchaya
Hapo 12 yupo lumumba kama msemaji wa ccm
 
WanaBodi,

Napenda kujua habari za wanasiasa wafuatao (yaani kwa sasa wako wapi na wanafanya nini?). Kwa nia nzuri kabisa kwa sababu wana jamii tumewamisi sana.

1. Isimail Aden Rage
2. Charles Keenja
3. Iddi Azan
4. Rostam Aziz
6. Abdul Rahman Kinana
7. Ritta Mlaki
8. Juma Othman Kapuya
9. Omar Ramadhan Mapuri
10. Augustino Lyatonga
11. Benedicto Mutungirehi
12. Christopher Sendeka
13. Seleman Kumchaya
Umemsahau14: stivin wasira
15:kagasheki
 
Back
Top Bottom