Matusi yameanza ....atoke chadema kale wapi form six leaver yule mganga njaa
uchaguzi ln mkuu? Watu wanasoma alama za nyakati hujajua tu!
sio matusi we utakata tawi ulilokalia ,njaa haina ubaunsa lowassa ana hela na slaa na lipumba walihongwa,hawa wanasiasa siasa ndio kazi yao hana hata kibanda cha kuuza nyanyaMatusi yameanza ....
kumbuka unapomnyooshea mwenzako kidole, vinne vinakurudia wewe! Chagadema dhoofu kwishney!
hata Wasira alitabiri mwisho wa chadema lakini yeye kafikia mwisho wa kisiasa na chadema inasonga mbele"All is well in Chadema; what has been going on is part of what was dubbed strategy for changes which was initiated by Chadema traitors" JOHN MNYIKA, DIRECTOR OF CHADEMA
"Some analyst have warned that if the turmoil is not handled well, this might well be the beginning of the end of the party"
Soùrce; The Citizen
Magazeti ya kiswahili yakiandika habari kama hii yanabezwa. Ngoja tuone na hapa .
Mnyika yupo sahihi kuwa hali ni shwari ndani ya Chadema? Na siyo kwamba na yeye kakichoka chama?
Walioonya kuhusu mwanzo wa mwisho wa Chadema wapo sahihi? Japo wenye kuona mbali wanaona Chadema imeshakufa, na viongozi pamoja na wanachama hawataki ushauri wa wadau?
Hivi kila anayedai ukweli na uwazi ndani ya Chadema, ni TRAITOR?
Kwani yeye nani bwana!.Kama vipi asepe!.Alikuwepo slaa ijekuwa yeye!Oooi!
Tatizo itakuwa lugha mkuu Bukanga, mambo mengine ni ya kuangalia tu!Hivi umeelewa kweli hiyo Lugha?
Hivi Mnyika hajui madhambi ya Viongozi wake au ndo kumtumikia Kafiri....
Soko la hisa lashuka kwa 78%"All is well in Chadema; what has been going on is part of what was dubbed strategy for changes which was initiated by Chadema traitors" JOHN MNYIKA, DIRECTOR OF CHADEMA
"Some analyst have warned that if the turmoil is not handled well, this might well be the beginning of the end of the party"
Soùrce; The Citizen
Magazeti ya kiswahili yakiandika habari kama hii yanabezwa. Ngoja tuone na hapa .
Mnyika yupo sahihi kuwa hali ni shwari ndani ya Chadema? Na siyo kwamba na yeye kakichoka chama?
Walioonya kuhusu mwanzo wa mwisho wa Chadema wapo sahihi? Japo wenye kuona mbali wanaona Chadema imeshakufa, na viongozi pamoja na wanachama hawataki ushauri wa wadau?
Hivi kila anayedai ukweli na uwazi ndani ya Chadema, ni TRAITOR?
Mkuu mimi ninehama na wanachama 500 wa ccm na kuhamia cdm baada ya kuchoshwa na ccmMtahangaika sana,CDM ipo pale pale na inazidi kujikusanyia wanachama wapya kila uchao.Kadi za cdm zinazidi kuwa lulu huku field tulipo na tunaomba tu uongozi watuletee kadi nyingi.
Ccm uchaguzi ujao hata 40% ya ushindi haipatiuchaguzi ln mkuu? Watu wanasoma alama za nyakati hujajua tu!
uchaguzi ln mkuu? Watu wanasoma alama za nyakati hujajua tu!