Recent content by MALI MISANGO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natangaza kujiunga na jeshi la ukombozi (chadema)

    Safi sana uamuzi mzuri sana huo na una busara sana na ulikuwa umechelewa,Kilicho na mwanzo kina mwisho Wamuulize OSAMA,GADAFI,SADAM HUSSEIN nk.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pigo jingine kwa JK: Mzee Mwinyi apigilia msumari suala la kuchinja

    Safi sana mzee ruksa,huo ndo uamuzi wa busara Old is Gold
  3. M

    JamiiForums Tanzania engeneer aliyemaliza udsm

    Kinachotakiwa ni kufuata Engineering ethics tu, siyo hoja kwamba kasoma wapi ?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Prof mungai: Hakukuwahi kuwa na mgomo wa walimu tanzania

    Ni mmoja wa walioifikisha elimu ya tz mahali pabaya sana:A S shade:
  5. M

    JamiiForums Tanzania Basi la Ndenjela Coach laungua moto leo (DAR-MBEYA)

    Poleni sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tenga aridhia maelekezo ya serikali

    Hapa cha msingi ni taratibu za kubadilisha katiba zifuatwe tu.Kelele za nini ?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

    Hongera sana Mh.Zitto
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kwa hali jinsi ilivyo, Dar ndio itakayochelewesha ukombozi wa nchi hii

    Hao watu wa dar hawana lolote kazi kushabikia chaguzi za mikoani,ya kwao yanawashinda.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Untold story: Ndugai na kifo cha afisa wa TRA Wilaya ya Kongwa

    Mungu atalipa wote hapa duniani ni wapita njia tu,kuna siku Mungu atawaumbua.Poleni sana,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe atoa tamko: CHADEMA kuisimamisha nchi Machi 25, 2013

    Du,kwani kuandamana ndo suluhu,kimsingi hiyo haitasaidia,kitakachokuja ni raia kuswekwa rumande,je atakaye wapa dhamana ni nani ?Poleni mtakaoandamana mie naaona rundu la dola liko nyuma yao.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchimbi acha kuhadaa Watanzania bana;ati kamishna 6 wasimamishwa kazi

    Sawa Waziri mwanzo mzuri.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya basi la Green Star (Dar - Kahama)

    Poleni wahanga wote wa ajali.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu wapya wa kike wapo hatarini kubakwa!

    Yote yatapita,
  14. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli atoa pongezi kwa uhuru kenyatta

    Yote heri
  15. M

    JamiiForums Tanzania New Series I: Madudu na sifa za Edward Lowassa!

    Du,hivi Mh.hawezi kukanusha haya
Back
Top Bottom