Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

Nakupongeza sana zitto kabwe tunaimani utatufanyia kazi nzuri
 
Hongera sana Zitto...ninayo imani kubwa kazi hii utaifanya kwa uaminifu na kwa maslahi ya umma.
Ila ninajiuliza kama yale marekebisho ya sheria yaliopitishwa bunge lililopita (yaliopingwa vikali na Halima na wabunge wengine wapenda maendeleo)hayataathiri utendaji wenu ktk kamati.
 
Vizuri, ni jambo jema, nitakupongeza kwa kazi nzuri utakayoifanya. Mungu akutangulie. I wish Lucky.
 
Zitto huwa hashindwi uchaguzi. Ingekuwa siyo magumashi ya kukataliwa kugombea angekuwa mwenyekiti wa chadema sasa hivi...
 
Naomba Zitto aanze na kile kiporo cha mashirika ya pension kukopesha hela kiholela huko serikalini...
 
Last edited by a moderator:
Safari CCM hawajatumia uwingi wao, kubaka Demokrasia?
Au kunauasili wa kibinadmu hapa kwamba usipo faidika basi Demokrasia inabakwa, siku ukinufaika, Demokrasia imefuatwa! Kazi ipo!
 
Hii ni nafasi nyingine kwa Zitto kuendelea kufichua ubadhilifu wa fedha unaofanywa na viongozi wa Serikali,binafsi namwamini kamanda hasa linapokuja suala la kufuatilia jambo ambalo anaamini lina mashali ya taifa.
Hongera kamanda.
 
Mhe Zitto Kabwe ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17.

Zitto awali alikuwa ni mwenyekiti wa POAC, kamati iliyovunjwa siku chache zilizopita na kuunganishwa na kamati ya PAC.

Binafsi nampongeza Zitto na kumtakia utendaji mzuri kwenye majukumu yake hayo mapya. Taifa linamtegemea.

kudos zzk.lakini mkuu huu uchaguzi umefanyikia kambilini tanga?coz we all no zitto yupo jkt.anyway ni kwa uelewa tu.hii inaondoa kusudio la kupinga sheria kandamizi.
 
Mhe Zitto Kabwe ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17.

Zitto awali alikuwa ni mwenyekiti wa POAC, kamati iliyovunjwa siku chache zilizopita na kuunganishwa na kamati ya PAC.

Binafsi nampongeza Zitto na kumtakia utendaji mzuri kwenye majukumu yake hayo mapya. Taifa linamtegemea.

Waliomchagua ni akina nani? Hongera zako ZZK
 
zito zuberi kabwe tunakuomba 2015 uje ugombee ubunge jimbo la shinyanga mjini tutakupa kura zote za ndiyo utuletee maendeleo.
 
Hivi ni lazima kuwa mwenyekiti katika kila kamati atakayokuwa? hawezi kuwa mjumbe wa kamati bila M/kiti?

Back
Top Bottom