Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Unaishi Marekani nini mkuu? Muulize Mwita Maranya na Yericko Nyerere.
Hao walikuwa na misimamo yao kibinafsi na wala si ya kichama.....hata YANGA wako washabiki wa MANUTD na ARSENAL.....sasa kama MANJI anashabikia ARSENAL haimaanishi wana YANGA wote ni ARSENAL...got it?