Basi la Ndenjela Coach laungua moto leo (DAR-MBEYA)

Basi la Ndenjela Coach laungua moto leo (DAR-MBEYA)

Basi la ndenjela likiwa linatoka dar kuelekea mbeya limeteketea kwa moto kibaha kongowe asubuhi ya leo. Abiria wote wamenusurika janga hilo. Habari kutoka kwa msafiri ndani ya basi la ndenjela.

Bonge la basi linahuduma bora sana nilikuwa nalitumia sn kwa safari za mbeya
 
Ndenjela Coach iligongana uso kwa uso na lory yote yakaanguka lory likaanza kuwaka moto na kusambaa mpaka lilipo angukia basi abiria wote walisalimika ila dereva kondactar na utingo walifariki dunia pamoja na mizigo yote ya abiria imeungua!

RIP
 
Back
Top Bottom