Ajali mbaya basi la Green Star (Dar - Kahama)

Mkuu we ni dereva.....umewahi kupata ajali?????

Inahitaji kujiuliza sababu za ajali kwa umakini kuliko kudhani ni incompentence ya dereva tuu!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sitetei uzembe though.
Ni been driving for past 10 years. Nashindwa kutetea dereva wa basi alivae lori lililopark..! If the lorry was in motion ningefikira tofauti..! Sina mfano hai unaojustify case ya aina hii.! Ni wajibu wa dereva kuepusha ajali hata kama ni ile ya kusababishiwa..!
 
bado inateegemeana lori limepaki sehemu gani ya barabara(maybe amepaki wrong position)
 
Simple, kama ni wrong position una-apply ile principle inayosema reduce speed when visibility is poor..! Wewe mbele huoni fresh (mfano kwenye kona) bado upo speed 100. That is next to imposible
 
Ni been driving for past 10 years. Nashindwa kutetea dereva wa basi alivae lori lililopark..! If the lorry was in motion ningefikira tofauti..! Sina mfano hai unaojustify case ya aina hii.! Ni wajibu wa dereva kuepusha ajali hata kama ni ile ya kusababishiwa..!

Hata yeye ungemuuliza kabla angeweza kutoa maoni kama yako mkuu........

But kumbuka dereva ni mtu wa mbele kuliko wote katika basi.....m[aka kufikia kugonga ilhali anajua yeye ndo muhanga wa kwanza then we need to go beyond normal driving principles!!!!

Je mwenzetu behind the wheels alikutwa na nini????
Was the vehicle mechanically fit and sound?????
Then; Was the driver qualified and in tune with the vehicle????

KWa maoni yako ni kama vile comprehensive insurance wasingekuwa wanalipa!!!!!
 
Kukimbia basi sio mbaya kiasi hicho but mbaya ni pale driver anaovertake bila kuona mbele kama ni kweupe. Poleni sana waliopatwa na hilo
 
mmmmmmmmmmmmh tunaomba abiria ndo watoe maoni ya jinsi ilivyokuwa
 
Back
Top Bottom