Recent content by Malezo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakurugenzi wa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya za Tanzania Bara

    Kuna mtu anaitwa Ngiliule Solomon, lakn anauteuzi wa DAS Magu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kuhusu mpwapwa secondary

    nipm
  3. M

    JamiiForums Tanzania Azam Tv hamtendi haki katika kuonesha mpira

    umeongea points ambazo mimi nimezikubali, kiukweli ningekuwa muajiri wa Azam TV ningefukuza watangazaji wengi akiwemo Mvulla, sio siri Mvulla level yake ni redio au TV za wilayani na si Azam, kwa hali hii Azam TV wasubiri sana wana watangazaji wengi zero ambao wanaondoa mpaka sifa nzuri ya akina...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge ampa mimba Wema Sepetu

    Aiseeeee @Malezo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada nipo ugenini mwenyeji ananitisha

    Chukua uamuzi mapema, ila ingekuwa vema pia. kama ungeleta mrejesho wa suala hili ili tujue yeye ana utetezi gani. Ni mimi Malezo kukuletea habari hii
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? - Special Thread

    Kwa taarifa yako ASALI ndio chakula pekee kinachoweza kukaa muda mrefu bila kuchacha. Ni mimi Malezo kukuletea habari hii
  7. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa Mtu wa Watu!!!

    Uchaguzi umekwisha, Magufuli ameshinda kihalali na kila mtu moyoni anajua hivyo na pengine anafanya makubwa kuliko ambayo huenda Lowassa angeyafanya. Nikuombe tu heshima kwa Mzee maana Mungu anakuona na hujafa hujaumbika. Ni mimi Malezo kukuletea habari hii
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya temple nifundshe

    Kwa maelezo yako ni wazi kabisa umeanza kidato cha kwanza 2006 na umemaliza Degree yako 2015. Nina uhakika una degree tena ni B.Sc with Education ila makosa ya uandishi wako yamesababishwa na kipindi ulichopata elimu yako. Dear Dr Ndalichako naomba tuvushe ili tuendane na Elimu tulizonazo. Ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhasibu

    Kusema ukweli stori yako ni nzuri sana ila jitahidi kuongeza ubunifu ili sisi wasomaji tusijue mwisho ukoje. Ni mimi Malezo kukuletea habari hii
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Meya Halmashauri ya Mpwapwa- kituko chatokea

    Nimebahatika kumsikia diwani wa kata ya Kibakwe akilizungumzia suala hili. Ikumbukwe kuwa Halmashauri ya Mpwapwa ni kongwe lakini watendaji wake ni sifuri. Mleta mada hebu sema hao wasomi waliopita walifanya nini zaidi, zaidi ya kula pesa ya walipakodi kwa kujifanya wajanjawajanja?? . Katika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, Unadhani walikuwa wanawaza nini vichwani mwao?

    exactly
  12. M

    JamiiForums Tanzania Breaking News

    Husababisha mtu anye utumbo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Do you know of a subject harder than Mathematics?

    Kwangu sioni somo gumu ila nilikuwa nachukia masomo kama Biology, Geography, History na Civics ila kulingana na thread kwangu masomo magumu ni Physics na Kiswahili
  14. M

    JamiiForums Tanzania Picha: wakenya wakamatwa wakiiba nyama South Africa

    aione Sam99
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tano za Rais Magufuli

    Hongera Mr Chin
Back
Top Bottom