Picha: wakenya wakamatwa wakiiba nyama South Africa

Ngoja niipeleke huu uzi kwenye jukwaa Lao. Maana wamezoea kuisifia nchi yao wakati wananchi wao ni vibaka ughaibuni.
 
Hawa ni wadokozi. Sidhani kama jina la wizi linawafaa. Hiki kitendo kinahusisha tabia mbaya zaidi. Wizi ni kitendo ambacho kinahusisha lengo na kutenda uovu unaolenga kupata faida.

Hawa ni watu wenye tabia mbaya ya udokozi hata yasiyofaa !!!!
 
Lugha inatumika hapo
 
Wewe :what::what::what::what::what:

Tizama mwenyewe hii nyama inatolewa wapi kama
sio zizini ...
attachment.php
 
Acheni chuki zisizo tija. Na nyie chapeni kazi mtawapita Wakenya!
 
Back
Top Bottom