karoli martin
New Member
- Nov 1, 2015
- 3
- 1
Jaman wanajf,am new in this floor,bt argument yangu ni hii,hakuna somo gumu hata siku moja,tunatofautiana kwa ugumu vichwa vyetu kuelewa mambo kuhusu particular subject,am done.
WanaJF, We have been to all sorts of schools and colleges, at each level, subjects or courses related to mathematics are often shunned by many of us except those few good in maths whom we often adore as sharp minds("vipanga").This prompts me to ask is mathematics the most difficult subject? Is there any other subject probably harder than Maths that you know of? Responses.
Madaktari wanaosoma masomo ya tiba za wanadamu especially wale wa upasuaji ni watu wanaosoma masomo magumu kuliko somo jingine lolote hapa duniani ila watu hawaelewi hilo kwa sababu masomo yao hayapo kwenye ngazi za huku chini ambako elimu yetu huwa inaanzia. Mimi naamini kabisa kuwa hakuna masomo magumu kama ya udaktari, hesabu wala siyo mojawapo ya masomo magumu
Jaman wanajf,am new in this floor,bt argument yangu ni hii,hakuna somo gumu hata siku moja,tunatofautiana kwa ugumu vichwa vyetu kuelewa mambo kuhusu particular subject,am done.
Mie geography bwana. Daaah, imenitesa noma.
Nasikia hii kitu rocket science ikitajwa twaja sana. Hii lazima baba Lao