Recent content by Malafyale

  1. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Leo hatujacheza vizuri Lkn bado room ya improvement ipo Tuzidi shikamana
  2. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ni kawaida team ku struggle mechi ya kwanza hadi ya 3 Baada ya hapo tutakua sawa sana Tuzidi shikamana,mambo mazuri yaja
  3. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

    Hatukuzunguka mbona kabisa bali JWTZ waliigawa Uganda ktk zones 5 na kuongozwa na ma Brigedia watano Zone ya Kusini iliyo iteka Kabale,Mbarara na Masaka ilikua chini ya Gen Musuguli enzi hizo Major General Brigadier Walden Marwa yy alichukua zone zig zag ya Kasese,Kampala,Entebbe na Jinja...
  4. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

    Umevuta bange ya wapi? Thibitisha hapa wapi kaonyesha kakata tamaa?
  5. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Team bado hauna Liverpool bingwa
  6. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM waitisha kikao cha dharura Agosti 26, 2026

    Watanganyika wajumbe ni waoga sana ndani ya CCM. Nchimbi atajiuzulu kabla ya hicho kikao leo
  7. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mwanangu huyu yupo? Nilikua Kiev huwezi shika simu mara kwa mara maana watakuotea Sasa nipo home Dar full ngwamba Let go Majogoo
  8. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nyie mtashuka daraja Hamna team kabisa Bingwa ni Liverpool Bado hamyaogopi Majogoo ya Anfield?
  9. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mlibahatisha msimu uliopita hamuwezi bahatisha tena Bingwa ni Liverpool Nani hayaogopi Majogoo?
  10. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mmeanza na nguvu ya soda Ubingwa ni wa Liverpool Nani sasa hayaogopi majogoo?
  11. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM waitisha kikao cha dharura Agosti 26, 2026

    Nchimbi hawezi fukuzwa na ‘wageni’ toka Zanzibar
  12. Malafyale

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Liverpool bingwa 2026/27 Nani sasa hayaogopi Majogoo?
  13. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wana Liverpool halisi hamjambo Sare ya jana sio mbaya Naion dalili team itakua sawa tofauti na msimu uliopita
  14. Malafyale

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Nyie watu kaondoka Pep ubingwa hampati tena hadi 2050
  15. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ligi imeanza vibaya kwetu Dah
Back
Top Bottom