Recent content by makutopora

  1. makutopora

    Kuanzia leo sitaita Waziri Mkuu wala sitaita Waziri

    kwani kasema ni ya kwako?
  2. makutopora

    Tetesi: UCHAGUZI TLS: Mawakili wa serikali(TAMISEMI) "kufundwa" kesho Arusha, kura zao zaleta hofu

    mm ni upcoming lawyer, naomba niulize hv mawakili wa serikali nao wanahusika kwny chaguzi za tls?
  3. makutopora

    Wanafunzi 11 wadakwa wakidaiwa kufanya ngono na mbwa Arusha

    daaah, taifa hili linaangamia kwa kukosa maarifa!
  4. makutopora

    Tiles (Marumaru) za China Vs Arabuni UAE

    mm nauza za spain,kama wahitaji nambie! ziko vizuri sana!
  5. makutopora

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    jamani, mm nina shida na hii document inaitwa Appeals in Proceeding Originating from Primary Courts) Rules GN no 312, 1964! yyt mwenye nayo learned brothers and sisters!
  6. makutopora

    Angalien chanel ten now

    mzee mbona anafoka sana, hata kama ndo alivo angejaribu kuji control, huu si uongeaji mzuri kwny media!
  7. makutopora

    Millad Ayo anamiliki kituo cha luninga?

    hiyo ni tv inayopatikana kwenye web (online tv) sio kama zile tbc, itv ulozoea ww!
  8. makutopora

    Naacha ualimu, nimechoka dharau

    kwa hio kuacha kazi hapo unakua umesolve vp tatizo?
  9. makutopora

    Pro Evolution Soccer (PES) inauzwaje?

    daaah! nasikitika sana kukosa hiyo opportunity!
  10. makutopora

    Pro Evolution Soccer (PES) inauzwaje?

    nipo dar, kinondoni!
  11. makutopora

    Pro Evolution Soccer (PES) inauzwaje?

    kariakoo kwa wap mkuu!
  12. makutopora

    Pro Evolution Soccer (PES) inauzwaje?

    mm nataka ya computer!
  13. makutopora

    Pro Evolution Soccer (PES) inauzwaje?

    hujanielewa jamaa, mm natafuta cd ya pro evolution soccer ya 2015 au 2016 (PES) na sio PS!
  14. makutopora

    Mchungaji akutwa akizini na binti wa kaka yake

    kaka, huko ni bush ujue, kwa hio dem lenyewe unakuta shamba kichizi, ukijumlisha na uchungaji feki wa jamaa, ndo kabsaa dem likaona litakua chiz, au huenda ukakuta na manzi lenyewe lilikua linaona hara, mwaka mzima mwee!
  15. makutopora

    Pro Evolution Soccer (PES) inauzwaje?

    Wadau, naulizia hivi ile video game ya mpira ya pro evolution soccer ya 2015 au 2016 inauzwa bei gani!
Back
Top Bottom