Wanajamii
Kwa wale wataalamu, ipi ni bora kati ya hizi sampuli mbili za tiles? Tiles ya Uchina na ile ya Falme za Kiarabu?
Kwa maana, nimeuliza bei ya tiles Granite ya mchina 40*40 nimeambiwa box moja lenye vipande 6 wanauza Tsh 34,000... Wakati box la tiles za U.A.E lenye vipande 6 vya ukubwa wa 40*40 wanauza Tsh 25,000. Na kwa muonekano tu, za Arabuni (UAE) zinavutia zaidi machoni
Na kama mnavyojua, ukubwa au udogo wa bei hau-determine ubora wa bidhaa (ingawa muda fulani huwa ina-determine)