Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Wakuu, ni muda sasa naona katika vituo mbalimbali kwenye mikutano hapo Dar pakiwa na 'mic' inayoandikwa "Ayo tv". Sasa najiuliza kama mmiliki wake ni yule mtangazaji mwenye mbwembwe wa Clouds radio aitwae Millad Ayo. Kama ndo yeye nampa hongera ila tutaipataje?