Naacha ualimu, nimechoka dharau

Naacha ualimu, nimechoka dharau

Ndiyo ukweli. Mara ya mwisho lini umesikia mtu kafaulu kaenda kusoma ualimu kama sio miaka 15 iliyopita. Usipinge ukweli wakati ndio hali halisi, ukitaka kusahihisha mfumo mbovu lazima ukubali kwanza kuna mahala tunakosea. Watu wanaosoma ualimu siku hizi hawajui hata tofauti ya R na L sijui wanafundisha nini watoto.
Tangu mwaka huu uanze wewe ndo nimekuona una pointi za kipu...bu
 
Ndugu wadau: Najua humu ndani kuna watu tofauti wanachuo,watumishi na hata wanafunz...mm nizungumzie hii idara ya UALIMU licha ya kudharaulika kwa mishahara duni na mazingira mabovu ya kazi dharau imepitiliza mpaka walimu kupigwa makofi hadharani inaniuma sana si tu kwa ujinga wa huyu jamaa aliyepigwa Bali hata hii kada imekaa kudharaulika sijawahi kusika kama kuna Daktari kapigwa au Mhasibu lakin ni miaka ya juzi tu walimu walikula bakora hadharani na mkuu wa wilaya...kwa dharau hizi walimu wasitegemee kama kuna Siku watatekelezewa madai yao ...mmeyataka wenyewe bakini wenyewe kwenye kada yenu
Mwalimu S nakushauri umtafute Evelyn Salt kwa pm ili akupe dodoso kidogo jinsi ya kuipenda na kuifurahia kazi yako...kwanini nimekushauri hivi?ni kwa sababu mwenzko anaonekana kuipenda na kuifurahia hii kazi.sasa inabidi ujue ni nini siri ya hayo yote na ilhali na yeye ni ticha kama wewe!una tatizo la kisaikolojia linalochangiwa na inferiority complex conception towards teachers and teaching career...so unahitaji msasa kidogo kwenye brain.
Ahsante.
 
Ha ha ha hongera kwa kumtia moyo
 
Oh I see. Kuna watu nawafahamu ni vilaza mwisho na sahizi ni walimu tena wamemaliza mwaka Jana tu, nilijua bado mchezo unaendelea
Sijui kwanini anapinga, jana nilikuwa nakagua madaftari ya mdogo wangu nikasikitika mwalimu anashindwa kujua tofauti ya past tense na past participle.
 
Mkuu tukisema wanasema sisi hatujui tulisemalo kumbe na sisi tuna ndugu walimu ambao tunajiuliza hata ualimu wamepataje. Kuna jamaa Ni mwalimu huwa nachat nae mara kwa mara yani R na L ni tatizo kubwa kwake kila nikijaribu kumueleza anasema nisimsumbue sasa najiuliza hao watoto anaofundisha wanapata nini

Kuna walimu graduates wazuri ila Bado kuna kundi kubwa linaloenda kwenye ualimu kama kimbilio baada ya kufeli
 
Mkuu, mimi mwenyewe sina elimu nzuri ila kuna mambo kwa kutumia akili zangu naweza kuyachambua.
Aiseee, hawa walimu wa shule za kata wanafundisha ilimradi tu wapokee mshahara. Hawa wanaotetea bila shaka wao ni walimu au watoto wao wanasoma shule za private.
 
Ndugu wadau: Najua humu ndani kuna watu tofauti wanachuo,watumishi na hata wanafunz...mm nizungumzie hii idara ya UALIMU licha ya kudharaulika kwa mishahara duni na mazingira mabovu ya kazi dharau imepitiliza mpaka walimu kupigwa makofi hadharani inaniuma sana si tu kwa ujinga wa huyu jamaa aliyepigwa Bali hata hii kada imekaa kudharaulika sijawahi kusika kama kuna Daktari kapigwa au Mhasibu lakin ni miaka ya juzi tu walimu walikula bakora hadharani na mkuu wa wilaya...kwa dharau hizi walimu wasitegemee kama kuna Siku watatekelezewa madai yao ...mmeyataka wenyewe bakini wenyewe kwenye kada yenu

Ni fikira za kwamba kupiga watu ndo jinsi ya kufundisha. Sasa walimu wenyewe mmegeuziwa kibao.
 
Hivi manesi na jamii zao watu wa masijara,majeshi yote, nk wamefaulu vizuri kuzidi walimu? Kwa taarifa yako nchi hii imekuwa ikiongozwa na walimu
 
Na mimi nashangaa wanashindwa kuwanyooshea kidole hizo kada nyingine wanatolea macho kada yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom